Habari za asubuhi
Siku zinakwenda, mambo mengi yanabadilika, watanzania wanabadilika lakini hatari ni kwamba mifumo na miongozo ya vyama vingi vya siasa inabaki ileile ya kufanya mambo kwa...
Wadau mimi ni Mtanzania ninayetamani sana kujua ni Utaratibu gani wa Chombo gani unaoweza kumwajibisha KIONGOZI wa Ngazi ya URAIS Endapo itathibitika KAVUNJA KATIBA ya NCHI aliyo APA kuilinda na...
Taarifa kutoka kwenye chama rafiki wa ccm , ACT WAZALENDO zinadokeza kwamba , hadi kufikia Jumamosi ijayo watakuwa wamejua kama waendelee kuwemo kwenye serikali ya Umoja wa kitaifa au Wajitoe ...
Ndugu zangu watanzania,
Kuna kipindi kulikuwa Kuna washangaza wazalendo wengi Sana juu ya Uvujaji na usambaaji wa Siri na Nyaraka za Siri za serikali, watu walikuwa wanaona fahari kuvujisha Siri...
Serikali imeeleza kishindo kingine katika sekta ya elimu baada ya kueleza mwaka huu imepanga kujenga madarasa mapya 9,000 kwa shule za msingi na awali.
Katika mpango huo Serikali ya awamu ya...
Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji...
DKT. MABODI ASHIRIKI UCHAGUZI NGAZI YA SHINA
Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dkt. Abdulla Juma Saadalla ameungana na Wanachama wenzake wa shina Namba 2, Tawi la Rahaleo, Jimbo la Kikwajuni Mkoa wa...
Wakati tunazaliwa tuliambiwa kwamba hakuna mchumi kama Lipumba na mpaka wakafikia kusema ni mchumi namba mbili tuniani.
Sasa nimesoma soma vitabu sijawahi ona hata quotation au mtu aliyemcite...
Tundu Lissu ni Mtanzania mzuri kuwatetea wanyonge.
Ni aina ya watu wanaofaa zaidi kuwa chini ya viongozi wengine ili kutumika kutengeneza ajenda za kuwashawishi viongozi kutenda kuliko kuwa wa...
Nimesikia Msigwa akizungumza Wasafi FM ambapo amewahakikishia watanzania kuwa rasilimali zao zipo salama, hakuna wanyama wanaochukuliwa. Hata hivyo ametaka wenye ushahidi wa rasimali kutoroshwa...
UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KIKONGO, KIBAHA VIJIJINI-PWANI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani Mhe. Hawa Mchafu akikagua Miundombinu ya Shule ya Sekondari Kikongo iliyopo Wilaya ya Kibaha...
Wasalaam
Kama unatafakari vizuri sana na kuwa na matumizi sahihi ya akili yako, basi utaniunga mkono katika hoja tajwa hapo juu, pia kuziunga mkono juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu.
Ni ukweli...
Kichwa Cha habari kama kinavyojieleza
Mpambanaji asiyeogopa chochote anatarajia kuingia nchini tarehe zilizopangwa, Sasa basi ninachokiona mm Tanzania KISIASA ndiyo kumekucha.
Mimi ni CCM dam...
Jumamosi, 14.1.2023, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji ilikagua Mradi wa ujenzi wa miundombinu ya Bomba la Maji la Mugango-Kiabakari- Butiama.
Gharama ya Mradi huu ni kubwa:
~...
Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa
Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa.
Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa...
Shaka amshauri Rais Magufuli kuachana na CHADEMA, aendelee na mikakati yake ya maendeleo
Mwandishi Wetu, Dodoma
Friday, Sep 2016
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema hakuna...
Kwahiyo mkuu Masoud Kipanya unamaanisha sie chadema hatuna vichwa? Kwa maana sie wanachadema hatufikirii?
Mungu wangu wangu masudi kwahiyo Mwenyekiti Mbowe na jopo lake wanatufanya nyie...
WODI YA WAGONJWA MAHUTUTI (ICU) ILIYOJENGWA WILAYA YA IGUNGA - JIMBO LA IGUNGA
Wodi ya Wagonjwa Mahututi (ICU) iliyojengwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano...