Dkt Mabodi ashiriki uchaguzi wa Shina namba 2, Rahaleo

Shabani Ajaha

Member
Aug 18, 2021
78
60
DKT. MABODI ASHIRIKI UCHAGUZI NGAZI YA SHINA

Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dkt. Abdulla Juma Saadalla ameungana na Wanachama wenzake wa shina Namba 2, Tawi la Rahaleo, Jimbo la Kikwajuni Mkoa wa Mjini kufanya Uchaguzi wa Viongozi katika shina namba 2. Nafasi zilizopigiwa kura ni Mwenyekiti wa Shina na Wajumbe Wanne wa Kamati ya Shina 

CCM IMARA, SHIRIKI UCHAGUZI KWA UADILIFU

#zanzibarmpya #ccmzanzibar #ccmtanzania #dr.hmwinyi
IMG-20220420-WA0313.jpg
 
DKT. MABODI ASHIRIKI UCHAGUZI NGAZI YA SHINA

Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dkt. Abdulla Juma Saadalla ameungana na Wanachama wenzake wa shina Namba 2, Tawi la Rahaleo, Jimbo la Kikwajuni Mkoa wa Mjini kufanya Uchaguzi wa Viongozi katika shina namba 2. Nafasi zilizopigiwa kura ni Mwenyekiti wa Shina na Wajumbe Wanne wa Kamati ya Shina 

CCM IMARA, SHIRIKI UCHAGUZI KWA UADILIFU

#zanzibarmpya #ccmzanzibar #ccmtanzania #dr.hmwinyiView attachment 2194458
KIDUMU CHAMA CHETU
 
Back
Top Bottom