Kwema Wakubwa!
Kwa tathmini zangu ninazoziamini kuliko kitu chochote kile. Nachelea kusema, nchi hii hata watu wote yaani wote milioni 60 tuwe na Degree moja moja na zaidi kamwe haiwezi...
Aliwakaribisha mpaka ikulu kunywa juisi lakini hawakuacha kumharibia;
1. Serikali ilipowaambia wananchi 'tufanye hivi, wao dakika hiyohiyo walipita na, kwa ubabe mkuu, wakasema 'msifanye hata...
Wakuu nimejaribu kufuatilia huko mambele nimegundua wasomi wakubwa hawajitokezi sana directly kupambania madaraka kama huku kwetu gizani Africa. Huko kwa mabeberu wasomi wakubwa wako huru sana...
Najaribu kufikiri na kuwaza kwanini CHADEMA inaanzia mikutano yake Mwanza? Kwanini siyo makao makuu ya nchi Dodoma? Kwanini siyo Dar ambako viongozi wengi Wa CHADEMA wanaishi?
Kwanini siyo Moshi...
Mitaala mipya ya Elimu Tanzania inayokuja hivi karibuni, Isiporuhusu Kiswahili kuwa Lugha rasmi Kuu ya kufundishia kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuuu, Tutatumia haki ya kikatiba kimahakama...
Gwiji la siasa za Mageuzi Nchini Tanzania Freeman Mbowe, ama Mtemi Isike, Laingwanan au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, sasa anatajwa kama ndiye mpigania haki...
Ni asubuhi tulivu ya Jumamosi hapa Jijini Mwanza.
Wananchi hapa wanasubiri ujio mkuu leo.Ujio wa Katibu mkuu wa Chama chenye ufuasi mkubwa nchini cha Chadema.
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini...
Unahitaji kuwa na akili ya mwendawazimu kufikiria kama unaweza kuuwa Upinzani kwa hali iliyopo.
Natoa onyo kwa wote wanaopoteza muda kuhangaika kuuwa Chadema kwa uchawi au kwa njia zozote zingine...
Kumezuka mtindo sasa hivi ndani ya CCM vya watu kuanzisha vikundi vinavyojifungamanisha na mama na kujidai vinampigania. Yeye mwenyewe anasikia rahaaaa akijijua anapendwa na kutetewa kumbe lengo...
Hello wadau mnaendeleaje hapa jukwaani.
Rais wa JMT Dk Samia Suluhu anatarajiwa kusafiri kwenda Nchini Uswisi Katikati ya Mwezi huu wa January kwa ajili ya Kushiriki Mkutano wa kila mwaka wa...
MKUTANO WA MJADALA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UHIMALISHAJI YA MILIKI YA ARDHI (LAND TENURE IMPROVEMENT PROGRAM)
Tumefungua mkutano wa mjadala wa Utekelezaji wa Mradi wa uhimalishaji Salama ya...
Wana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.
Habari hizi zinaongeza wasiwasi...
Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374.
Jimbo hili lina jumla ya Sekondari 27:
Shule 25 za Kata/Serikali
Shule 2 za Binafsi (SDA & KATOLIKI)
UPUNGUFU WA...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete Jana Ijumaa Januari 06, 2023 amefanya ziara Jimboni kwake ambapo...
Salaam Wakuu,
Jumamosi ya tarehe 11 Sept 2021, nilienda Chato kuangalia Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo iliwekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na aliyekuwa...
Yaani mnatumia njia nyingi mno kuchukua waandishi, wahadhili na watu wa kila aina wenye kujulikana ili tu msave Chama chenu cha MAMBUZI na Sasa mnafosi na Kikeke asitishe na kuvunja kabisa mkataba...
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.
Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi...
Imekuwa kama kasumba sasa. Mwananchi akipata tatizo kwenye mahospital ya wilaya ambazo ziko na hospital za rufaa na kisha kuandikiwa rufaa huwa anaambiwa kuchangia mafuta ili mgonjwa apelekwe...
Hello Tanzania!
Hayawi hayawi yamekua, kama kawaida mfupa mgumu mpe Rais Samia.
Hatimaye Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa n Dk. Samia imemaliza Mgogoro wa matumizi ya Ardhi baina ya Wananchi...
MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE WAFIKIA ASILIMIA 80.2
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha umeme wa...