Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Mitaala mipya ya Elimu Tanzania inayokuja hivi karibuni, Isiporuhusu Kiswahili kuwa Lugha rasmi Kuu ya kufundishia kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuuu, Tutatumia haki ya kikatiba kimahakama kuzuia isitumike Tanzania. Tumedumazwa vya kutosha. Tufundishe kwa Lugha yetu ya Taifa
Lugha ya Kiingereza ifundishwe kama masomo mengine ili tusijitenge na dunia, Lakini Kiswahili iwe ndio Lugha Kuu ya kufundishia watoto wetu, Ni lazima tujenge taifa litakaloelewa kinachofundishwa sio kukariri, Kiswahili kinajitosheleza katika teknolojia, utabibu, uchumi na siasa
Fikiria mtoto anaanza shule ya awali anafundishwa kwa Lugha ya Kiswahili hadi anafika Darasa la Saba, Kuanzia kidato cha kwanza hadi Chuo Kikuu anafundishwa kwa kutumia lugha ya kigeni kiingereza. Mtoto mmoja anafundishwa kwa lugha mbili, Unatarajia kama nchi mtazaa taifa linaljitambua ama ndio haya yaliyojaa mitaani yanajiita machawa na yanaona fahari kuwa hivyo?
Ok, Wahi, Jipatie KITABU cha Ujasusi kwa bei rahisi ya 80,000/= tu.
Nunua kwa
0715865544
0755865544
(Yericko Nyerere).
Nje ya Dar nauli ni 8,000
HAKUNA OFA.
Pia SOMA VITABU kupitia App.
Kwa watumiaji wa iOS, Nenda App Store, Download sasa Application ya YerickoNyerereApp Link kwenye BO: link:Yericko Nyerere
Kwa watumiaji wa ANDROID, nenda Play Store Link kwenye BIO: Yericko Nyerere App - Apps on Google Play
Watumiaji wa iOS walioko nje ya TANZANIA jisajili kwa kutumia Apple ID, baadala ya namba ya simu. Malipo yafanywe kwa Apple Pay