Anayetishia Ujio wa Lissu Tanzania ajulikana. Ni Afisa wa Polisi wa Kike Julius Nyerere International Airport (JNIA)

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF

Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.

Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.

Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
IMG_20230116_090044_994.png
 
Tundu Lisu take note of this! Niliandika hapa kama tahadhali!
 
Hili swali nauliza kwa wajuzi wa sheria,hiyo kauli ya "akirudi tunaye" inaweza kutumika kumtia muongeaji hatiani? "akirudi tunaye" tunaye wapi? tunae nyumbani? tunae kwenye majukumu? tunaye kwenye siasa? tunaye kwenye kujenga nchi? tunaye kivipi? Isije kuwa Chadema wanatafuta mitaji midogo kwa ajili ya siasa zao changa.
 
This is a very important observation! Erythrocyte take note of this. Msidharau haya mambo. Huyu kuna mtu amemtuma kuwa na ujasiri wa kusema hayo aliyoyaandika.
Hamna lolote kama hawakumuua 2020 hawawezi Tena. Samia sio JPM no wonder alienda mtembelea Lissu hospitalini so order zake kama commander in chief zipo very clear. Failure to adhere watanyongwa hadharani trust me. Maana mama Yuko unpopular so ikitokea Lissu kauawa ndio itakua mwisho wake maana wapinzani ndani ya CCM plus upinzani wa nje ya CCM is a risk she's not ready to take.
 
Kweli sura sio roho. Mtoto wa kike kuwa na roho chafu hata haipendezi.

Ila asilaumiwe sana, siasa zimejaa unafiki. Unaweza kuta watu wanapatana hadharani ila nyuma ya pazia uadui upo pale pale.
Labda ana maelekezo ya ziada.

CCM si watu wa kuaminika , Juzi Zanzibar wameiba uchaguzi baada ya Mwinyi kujidai kuweka tume ya maelewano, kumbe ni danganya toto , hata wiki haijafika kamrudisha mkuu wa Tume ya uchaguzi yuleyule aliyesababisha mauwaji.
Uchaguzi wa jimbo la Amani umekuja wamefanya yaleyale wanayofanya siku zote .

USIMWAMINI SHETANI
 
Hamna lolote kama hawakumuua 2020 hawawezi Tena. Samia sio JPM no wonder alienda mtembelea Lissu hospitalini so order zake kama commander in chief zipo very clear. Failure to adhere watanyongwa hadharani trust me. Maana mama Yuko unpopular so ikitokea Lissu kauawa ndio itakua mwisho wake maana wapinzani ndani ya CCM plus upinzani wa nje ya CCM is a risk she's not ready to take.
Pamoja na kwamba hakuna mtu ana shida na Lisu ila akiuawa hamna kitu kitafanyika, watu watalia watasahau basi
 
Pamoja na kwamba hakuna mtu ana shida na Lisu ila akiuawa hamna kitu kitafanyika, watu watalia watasahau basi
Hamna kitu? Chuki ni mbaya.... kwani watu wa JPM huoni wamekua wakali sana Toka msiba wake na ipo wazi CCM Kuna mpasuko kitu ambacho mama kinampa presha. No wonder akaona Bora maridhiano Ili awazibe mdomo wapinzani kwa muda Ili apambane na wapinzani wa ndani kwanza. Ila akiuawa Lissu Ina maana probability ya Chadema kuuangana na watu wa JPM Ni kubwa sana kitu ambacho kitakua mwisho wa Samia kisiasa.
 
Back
Top Bottom