Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani. Dada wa watu katega eneo...
9 Reactions
97 Replies
6K Views
Nimesukumwa na dhamila yangu njema kuwaonya vijana wetu wasijiingize kwenye vurugu zinazo sukumwa na watu Wa gonvi wanao jivika vazi la siasa huku wakitaka kuondoa Amani Yetu. Niombi langu kuwa...
2 Reactions
18 Replies
894 Views
Gavana mpya Tutuba! Tutuba holds an advanced Diploma economic planning and MBA in corporate management from Mzumbe Uni vs Luoga a tax law Professor who (Luoga) is accredited for helping...
6 Reactions
156 Replies
17K Views
Tukubaliane kwanza kuwa Utendaji wa Hayati Magufuli akiwa Waziri wa Miundo mbinu ambapo alitumikia Taifa kwa zaidi ya miongo mitatu ulitia fora. Angalau kwa hilo tulimpongeza sana. Jambo la pili...
2 Reactions
8 Replies
919 Views
Kuna wengi sn wanaweza kufikiria nini kilisababisha anguko la Chadema wapo wachambuzi wengi wa masuala ya siasa wanaweza Kuja kuelezea mengi Sana yaliyosababisha anguko la kilichokuwa chama kikuu...
5 Reactions
150 Replies
5K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji, wadau wa maendeleo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika katika Mkutano wa Eneo Huru la...
2 Reactions
7 Replies
892 Views
Wiki hii Waziri Mkuu alikua huku mkoa wa Mbeya ikiwemo mbarali. Katika vikao vya ndani na mawaziri kule Mbeya alitoa muongozo kuwa baadhi ya vijiji na vitongoji viondolewe kwenye GN28. Lakini Kuna...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya 2020-2025 ambayo imeelekeza juu ya usambazaji wa huduma za kijamii nchini. Awamu ya sita inahakikisha maendeleo...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania, Tanzania ya Rais Samia Imenoga Na inavutua,kila mtu aliye nje ya nchi anakusanya mabegi yake kurejea Nyumbani,kila mwenye mtaji anawaza kufungua biashara ,kila kijana...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Inawezekana ni kweli wana nia ya dhati kuwawezesha walimu katika TEHAMA, lakini kwa ugawaji huu haitasababisha mgawanyiko au upendeleo? Naona shule x leo wamegawiwa walimu watano na mkuu wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu Wakuu, Serikali imetangaza kumalizika kwa kile kilichoitwa mgogoro wa matumizi ya ardhi kwenye Bonde la Usangu uliodumu kwa miaka 15. Waziri Mkuu amesema Serikali imefuta Government...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Hii haina uhusiano wowote na kikao cha Bunge kinachofuata. Nilitaka kujua tu, hivi wabunge wetu hawa ambao wengi walipita kwa mgongo wa Hayati JPM, ikitokea mmoja 'miongoni mwao' anapigwa chini u...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Taasisi mbalimbali hata za Kiserikali na Vilabu vya Mpira vimetenga siku moja kila mwaka ambayo hujumuika pamoja na kufanya mbwembwe za kila aina. Nawashauri nanyi BAVICHA tengeni siku moja iwe...
4 Reactions
6 Replies
456 Views
Habari wadau wa Jukwaa. Kutoka Mbeya, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali itaendelea na juhudi za kuwaunga mkono Wakulima ili wajikwamue kwa kuwapa Mbolea ya ruzuku na kuwaruhusu...
15 Reactions
94 Replies
5K Views
Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa. Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu...
26 Reactions
112 Replies
6K Views
Mwanza ni karibu na Mikoa ya Geita, Mara, Kagera, Kigoma, Simiyu, Tabora na Shinyanga kijiografia. Ni Rahisi kusafirisha wafuasi kiduchu, kutoka mikoa hiyo na wilaya zake na hatimae kuwajaza...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Hivi haiwezekani maafisa husika kukutana na kutiliana saini za makubaliano ya mikataba? Bila kulazimika kuita watu lukuki,wakiwa na mialiko rasmi,iliyoambatana na Posho za kujikimu. Wao na...
4 Reactions
5 Replies
751 Views
Tumeona ukiutangazia Umma wa Watanzania kwamba kasi ya mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Nyerere. umefikia zaidi ya 80%. ni jambo zuri kabisaa. Lakini umefunika kitu kimoja muhimu sana hapo. Kulingana...
2 Reactions
3 Replies
791 Views
Hali waliyofikia wazungu katika maswala ya Jinsia kiukweli inatisha. Kwa sasa Watoto wa kizungu wanafundishwa kujitambua kama "Mtu" na siyo kama Mvulana au Msichana Serikali lazima iachane na...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…