Likizo ya Wabunge wa Shujaa Magufuli inaisha kesho mara baada ya Mikutano ya hadhara kufunguliwa rasmi na CHADEMA!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Tuwe Wakweli Wabunge walikuwa hawafanyi Mikutano yoyote katika majimbo yao kwa kiburi tu kwani katazo la Serikali halikuwahusu wao

So kesho zile zama za mguu juu ndio zinahitimishwa na Chadema hapo Furahisha Mwanza

Jumaa kareem!
 
Mimi kama mjasiliamali wa kuprinti tisheti nimeanza kupokea order za kuprint tisheti zenye picha ya hayati Magufuli zitazovaliwa siku ya mkutano mkubwa wa Chadema pale jijini Mwanza.

Mtu mmoja aliyenipa order aliuliza.

Tisheti za JPM zinauzwa wapi, ndio za kuvaa nyakati hizi za mikutano sasa, bila kujali upo mkutano gani, no matter what kuna ujumbe utapenya... tena wenye nguvu... usiobezeka..

Njooni Mwanza tuwalie hela zenu na mtueleze kwa nini mlishangilia kifo cha Magufuli, na mtueleze pia kwa nini watoto wa Mbowe ,Lisu na Lema ni raia wa Marekani.

Niko hapa naprint za kutosh
 
Mimi kama mjasiliamali wa kuprinti tisheti nimeanza kupokea order za kuprint tisheti zenye picha ya hayati Magufuli zitazovaliwa siku ya mkutano mkubwa wa Chadema pale jijini Mwanza.

Mtu mmoja aliyenipa order aliuliza.....

Niko hapa naprint za kutosha
Vipi bado unaomboleza tu kifo cha shujaa wa Chato? Siasa za wafu haziwezi kukufikisha popote, wakazi wa Mwanza watakushangaa mnoo.

Zama zimebadilika ndugu, amka sasa uanze kwenda na midundo ya siasa zilizopo. Amua sasa upande wa kusimamia, kubali kwenda na siasa za mambuzi (CCM) au siasa za makamanda (CHADEMA), siasa za marehemu hazitakiwi tena popote katika nchi hii.
 
Tuwe Wakweli Wabunge walikuwa hawafanyi Mikutano yoyote katika majimbo yao kwa kiburi tu kwani katazo la Serikali halikuwahusu wao

So kesho zile zama za mguu juu ndio zinahitimishwa na Chadema hapo Furahisha Mwanza

Jumaa kareem!
Kuna mmoja wa Jimbo la Arusha tangu juzi kwenye insta amejaza mikutano utadhani kaanza kazi jana!! Kipindi cha nyuma alikuwa wa kuwanafikia wenzake tuu. Ati sasa kusikia Kaka ana rudi kawaalima mpaka mawaziri kutembelea kata zake.
Enzi za dharau zimekwisha bro!!!
 
..."Katazo la serikali halikuwahusu wao"..., je kibali cha kufanya mikutano kwa vyama vya siasa kilichotolewa na Rais Samia juzi juzi kilikuwa ni cha nini?
 
Kuna mmoja wa Jimbo la Arusha tangu juzi kwenye insta amejaza mikutano utadhani kaanza kazi jana!! Kipindi cha nyuma alikuwa wa kuwanafikia wenzake tuu. Ati sasa kusikia Kaka ana rudi kawaalima mpaka mawaziri kutembelea kata zake.
Enzi za dharau zimekwisha bro!!!
Askofu Gwajima atapata tabu sana Kawe
 
Mimi kama mjasiliamali wa kuprinti tisheti nimeanza kupokea order za kuprint tisheti zenye picha ya hayati Magufuli zitazovaliwa siku ya mkutano mkubwa wa Chadema pale jijini Mwanza.

Mtu mmoja aliyenipa order aliuliza.....
Tisheti za JPM zinauzwa wapi, ndio za kuvaa nyakati hizi za mikutano sasa, bila kujali upo mkutano gani, no matter what kuna ujumbe utapenya... tena wenye nguvu... usiobezeka..

Njooni Mwanza tuwalie hela zenu na mtueleze kwa nini mlishangilia kifo cha Magufuli, na mtueleze pia kwa nini watoto wa Mbowe ,Lisu na Lema ni raia wa Marekani.

Niko hapa naprint za kutosh
Mwangaloka nkoi!! Amka ukale mapanki na ugal, naona bado upo usingizin
 
Tuwe Wakweli Wabunge walikuwa hawafanyi Mikutano yoyote katika majimbo yao kwa kiburi tu kwani katazo la Serikali halikuwahusu wao

So kesho zile zama za mguu juu ndio zinahitimishwa na Chadema hapo Furahisha Mwanza

Jumaa kareem!
sasa hii ni point! Uwe unaleta manondo kama haya1 siyo ule utoto wako :D :D :D :D
 
Vipi bado unaomboleza tu kifo cha shujaa wa Chato? Siasa za wafu haziwezi kukufikisha popote, wakazi wa Mwanza watakushangaa mnoo.

Zama zimebadilika ndugu, amka sasa uanze kwenda na midundo ya siasa zilizopo. Amua sasa upande wa kusimamia, kubali kwenda na siasa za mambuzi (CCM) au siasa za makamanda (CHADEMA), siasa za marehemu hazitakiwi tena popote katika nchi hii.
Hii tabia ya kusema CDM walishangilia kifo cha jiwe naona imeota mizizi kwa sasa ingawa hapo awali ilikua propaganda kidogo tu na watu wengi tulipuuza sasa naona wengi pro-jiwe wanaitumia kuivictimize chadema.

Nikiuliza tu kwa sauti kubwa ni lini wapi na nani kama kiongozi au kamati kuu ya chadema ilikaa na kutoa press iwe ya maandishi au maneno kwamba kwa pamoja kama chama kimefurahia na kushukuru kwa kifo cha jiwe. nadhani hakuna pro-jiwe anayeweza kuleta hiyo kitu hapa jukwaani.

walioshangalia jiwe kupasuka ni huko huko matagani, kumbukeni wale waliorekodiwa sauti zao zikadukuliwa na kuwekwa hadharani wakimnanga kkwa kaisi kikubwa hali iliyopelekea wengine kusimamishwa uanachama na kuvuliwa uwaziri kwa wengine.

Sisi sote ni mashahidi wa jinsi wengine walivyoenda kupiga magoti Ikulu ya magogoni kuomba msamaha lakini juzi kwenye kikao chao huko juu kuna mzee aliropoka kuwa wazuri hawafi ikabidi mwenyekiti aingilie kati kupooza mambo.

Yule mama kwa namna alivyodhalilika na kuumia ile siku hata siku ya uzinduzi wa Bwawa la Umeme aligoma kwenda kwa sababu alijua yatakua zaidi ya yale.

Kwahiyo ni vyema tukawambia ndugu zetu MATAGA Kwa ushahidi wa wazi wazi waliofurahia kufa kwa Jiwe ni hao hao ndani ya ccm na tumeona hadharani na hata kwa matamko yao!! Nape alitamka wazi kuwa kifo cha magufuli ni Mungu ameamua ugomvi.
.........................................................................
 
Ila hili la watoto wa lisu kua raia wa marekani huku akiutaka uraisi ni janga lingine
 
unaweza kutufafanulia ni kwa namna gani ni janga ili tusije kuingia mkenge kumchagua Rais?
mana nimeona kule Liberia mtoto wa Mheshimiwa Weah ni Raia wa US na alikipiga kunako team ya Taifa ya US!!
Waziri mkuu wa UK ni India Origin! hebu tuusaidie kiongozi! Sheria zetu zinasemaje hasa linapokuja swala la Viongozi wetu kuwa na watoto walioukana Uraia wa Tanzania na kuwa raia wa nchi nyingine!!!
UUUPS ningesahau Mheshimiwa Raisi alimtembelea Mjomba wake kule Oman na ikawa habari njema tu!!
 
Mimi kama mjasiliamali wa kuprinti tisheti nimeanza kupokea order za kuprint tisheti zenye picha ya hayati Magufuli zitazovaliwa siku ya mkutano mkubwa wa Chadema pale jijini Mwanza.

Mtu mmoja aliyenipa order aliuliza.....
Tisheti za JPM zinauzwa wapi, ndio za kuvaa nyakati hizi za mikutano sasa, bila kujali upo mkutano gani, no matter what kuna ujumbe utapenya... tena wenye nguvu... usiobezeka..

Njooni Mwanza tuwalie hela zenu na mtueleze kwa nini mlishangilia kifo cha Magufuli, na mtueleze pia kwa nini watoto wa Mbowe ,Lisu na Lema ni raia wa Marekani.

Niko hapa naprint za kutosh
siku ya mkutano mkubwa wa Chadema pale jijini Mwanza.
Umepondaaa wee hatimaye bila kujijua umekubali... CHADEMA ni mpango wa Mungu wewe
 
Na pia umkumbushe kuwa Baba wa Obama alikuwa Mkenya. Je, hiyo kwa nini haikumwondolea haki Obama kuwa Rais wa Taifa kubwa la Marekani.
 
Ndio maana ukiwaambia JF ya GT imevamiwa na Facebook generation inathibitika na watu kushindwa kujibu maswali kama haya.

Wanakimbilia mbio kusema TAL wanae ni wamarekani Hivyo kwa logic Yao uchwara TAL anapoteza legitimacy ya kuwa kiongozi yeyote hapa nchini!

Possibly hili ni lile kundi halifu lililokua linapora uraia WA wakosaji wake kama akina Askofu Niwemugizi Severini walivyompora mpaka passport na yy Ndo akaja kufanya ibada ya kumsindikiza!

Hawajifunzi kabisa hata kidogo, Mungu amewatia upofu!
 
Back
Top Bottom