Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiukweli niliwashauri Chadema hapa hapa Jf kuwa watazame kama wanaweza kuitangaza Siku Moja kila mwaka kuwa ni Chadema Day Nikasema ziko Taasisi kubwa za Serikali na hata Vilabu vikubwa vya...
0 Reactions
2 Replies
495 Views
Angalia hali ya maisha inayowakabili wananchi wa kawaida ilivyo. Kupata mlo mmoja kwa siku ni tabu. Lakini waziri wa kilimo anaona sawa tu kuuza mazao ya chakula holela nje ya nchi bila udhibiti...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
1.Mwendazake aliyetaka kushuhudia kifo chake kibao kimegeuka yeye ndiyo kashuhudiwa kifo chake. 2.Spika aliyemfukuza Bungeni na kuzuia haki zake kapoteza kiti kwa aibu na aliyemfukuza anashuhudia...
16 Reactions
23 Replies
1K Views
Leo ni siku muhimu sana katika historia ya Tanzania siku ambayo watawala wamewapa watawaliwa Uhuru wa kupaza sauti zao, mkoloni wa kiingereza hakuwahi kuwafunga midomo watanganyika kupaza sauti...
2 Reactions
13 Replies
892 Views
Kama ni kweli basi tutegemee mengi na makubwa kwenye mkutano wa Leo hapo Furahisha Takwimu hazidanganyi Bei za matunda na Mbogamboga ni muhimu kwa afya zetu
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Maendeleo ni ushirika kati ya Wananchi na Serikali yao wananchi wa Itilima mkoani Simiyu wamenufaika na uboreshaji wa huduma za afya.
0 Reactions
0 Replies
596 Views
walijifanya wajuaji waliambiwa kuongelea na kusimamia misingi ya Kero za wananchi wakakengeuka wakawa hawaambiliki wakashupaza shingo wakafikiri wanapendwa ndugu zangu bora msingeomba maridhiano...
14 Reactions
61 Replies
3K Views
Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
43 Reactions
341 Replies
32K Views
Kuna baadhi ya vitu unaweza kushangaa na usipate majibu kabisa. Sijawahi kuelewa sababu ya Kuwalipa Bodaboda ili sijui ionekane una watu wengi. Leo jiji la Mwanza ni sherehe kwa bodaboda...
5 Reactions
67 Replies
3K Views
MAGUFULI ni Kwame NKURUMA au ni Fidel Castro wa karne ya 21, KIU yake kubwa ilikuwa kuona mabadiliko ndani ya Bara la Africa na mioyo ya waAfrica. Alidhamiria kuondoa mabaki ya utumwa kichwachi...
2 Reactions
2 Replies
517 Views
Urusi na Marekani japo walikuwa mahasimu waliungana na kumuangusha Hitler kwenye vita ya dunia. Ni jambo ambalo Hitler mwenyewe hakua analifikiria. Hii inatupa somo kuwa, watu ambao ni mahasimu...
7 Reactions
66 Replies
4K Views
Pamoja na mikutano ya Siasa kuruhusiwa kwa Busara za Rais Samia ni Muhimu watanzania tukumbuke kuwa nchi Yetu inaitaji nguvu kazi kujenga uchumi imara nimeshuhudia Leo watu wasio na nauli...
1 Reactions
5 Replies
487 Views
Hawa wafuasi wa CCM hasa wale wa Mwendazake wanastahili kupewa pongezi kwa jinsi walivyo upigia chapuo mkutano wa Chadema kwa kuutangaza hadi kila mtu kuwa na hamu ya kujua nini kitajiri huko...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Wana CCM wamekaa miaka sita Bila kujibu hoja za upinzani; lakini pia Kwa safu waliyonayo hakuna timu ya kupambana na wapinzani. Nchi imepitia mdororo WA kiuchumi usiosemwa, madeni yameongezeka na...
0 Reactions
1 Replies
654 Views
Ubalozi wa Marekani kupitia taarifa waliyoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, Wamehoji juu ya utata wa kifo cha kijana wa raia wa Tqnzania aliyefariki akipigana vita Urusi. Ubalozi huo...
4 Reactions
75 Replies
6K Views
Kuondolewa kwa zuio haramu la mikutano ya hadhara ya siasa ni fursa nyingine inayofungua milango ya kisiasa kujenga na kumarisha demokrasia ya Tanzania wapinzani wanapaswa kuchanga karata zao...
4 Reactions
202 Replies
10K Views
Wadau mpaka Leo hii sijajua kwanini SPIKA MBABE KUPATA KUTOKEA Toka NCHI hii imepata UHURU Ndugai Alijiuzulu JE SABABU za KUJIUZULU kwake ni ZIPI? 1.Je Alijiuzulu kwa Mujibu wa KATIBA? 2.Je...
1 Reactions
9 Replies
609 Views
Baada ya dalili zote za mkutano wa Chadema jijini Mwanza kudoda, katibu mkuu wa chama hicho bwana Mnyika ameonekana akizurula mitaani na masokoni akikagua bei ya vyakula na changamoto mbalimbali...
2 Reactions
5 Replies
961 Views
Tulioko Mwanza tumeshuhudia, Polisi wanatii maelekezo ya Rais Samia Suluhu anayetaka viongozi na wanachama wa upinzani wapewe ulinzi wa kutosha wakitimiza haki zao za Kidemokrasia. Mika michache...
0 Reactions
2 Replies
626 Views
Hello Tanzania. Baba wa Taifa Mwl. J.K Nyerere aliwahi kunukuliwa akisema kwamba Mswaada wa Haki za Binadamu, Demokrasia ya Vyama Vingi na Katiba Mpya Havifai Kwa Nchi Maskini kama Tanzania...
0 Reactions
7 Replies
719 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…