Kwanini Job Ndugai alijiuzulu Uspika?

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,074
Wadau mpaka Leo hii sijajua kwanini SPIKA MBABE KUPATA KUTOKEA Toka NCHI hii imepata UHURU Ndugai Alijiuzulu
JE SABABU za KUJIUZULU kwake ni ZIPI?
1.Je Alijiuzulu kwa Mujibu wa KATIBA?
2.Je Alijiuzulu kwa sababu za KIAFYA?
3.Je Alilazimishwa KUJIUZULU?
1649495794948.jpg
 
Ndugai aliaanza upotoshaji Kwa kweli asingefit kufanya kazi na dk Samia Kwa unafiki aliopiga huyo mgogo
 
Kwa sababu ya udikteta wa rais Samia
Ndugai sijawaiga kulipenda hata kwa dawa!! lilikuwa joga sana!! hasa jiwe akilitisha tu hilooo linafuata!! hkn cha sheria wala ni ni km hupendwi na wenye madaraka unafukuzwa tu km mbwa!
 
Wadau mpaka Leo hii sijajua kwanini SPIKA MBABE KUPATA KUTOKEA Toka NCHI hii imepata UHURU Ndugai Alijiuzulu
JE SABABU za KUJIUZULU kwake ni ZIPI?
1.Je Alijiuzulu kwa Mujibu wa KATIBA?
2.Je Alijiuzulu kwa sababu za KIAFYA?
3.Je Alilazimishwa KUJIUZULU?View attachment 2489995
Kumbe ni mzima anaweza kuvuna korosho tena kwenye shamaba la hovyo kabisaa??...eti huyu ndo mgonjwa aliye lazwa India kwa Mammmilioni yetu!! sasa sijui ukiangika hapo shambani utaenda wapi na hela huna jiwe ndo ivo!
 
Wadau mpaka Leo hii sijajua kwanini SPIKA MBABE KUPATA KUTOKEA Toka NCHI hii imepata UHURU Ndugai Alijiuzulu
JE SABABU za KUJIUZULU kwake ni ZIPI?
1.Je Alijiuzulu kwa Mujibu wa KATIBA?
2.Je Alijiuzulu kwa sababu za KIAFYA?
3.Je Alilazimishwa KUJIUZULU?View attachment 2489995

Aliuzulishwa kwa nguvu unaambiwa hata hiyo form hakuijaza yeye
 
Back
Top Bottom