Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Angalia hali ya maisha inayowakabili wananchi wa kawaida ilivyo. Kupata mlo mmoja kwa siku ni tabu. Lakini waziri wa kilimo anaona sawa tu kuuza mazao ya chakula holela nje ya nchi bila udhibiti.
Angalia hali ya maisha ilivyo ngumu tozo za kila namna zinawaathiri watanzania wa hali ya chini. Waziri wa Nape anasema atafanya mkakati ili kila mtanzania akopeshwe simu janja. Mwananchi wa hali ya china hata mlo mmoja kupata tabu simu janja ya nini? Maana hata kununua bando ni tabu.
Huko wizara ya nishati kuna harufu ya uvundo. Lakini wao wanakenua meno na kufurahi. Ni sababu ya kuwa hawana huruma na watanzania.
Waziri wa fedha ndio hovyo kabisa. Yaani hajali lolote maana hata buku teni imebaki kuwa haina thamani kwa bajeti ya siku.
Uzuri wa Chama ni kuwa na watu wazuri. CCM hii ya sasa ipo mikononi mwa watu wabaya.
Idu.. nikiwa Igunga.