Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,776
- 34,762
Kuna baadhi ya vitu unaweza kushangaa na usipate majibu kabisa. Sijawahi kuelewa sababu ya Kuwalipa Bodaboda ili sijui ionekane una watu wengi.
Leo jiji la Mwanza ni sherehe kwa bodaboda, wanajaziwa mafuta ili kunogesha mkutano. Nachojiuliza kama mna watu na mnapendwa haya yote ya nini? Kwa nn msiache bodaboda wafanye kwa mapenzi yao?
Hii sio kazi bure? Maana bodaboda hawapo wengi kiasi hicho na pia wengi wao wanasema wanachukua pesa na mafuta alafu hawatokei. Hasara hii mtaifidiaje? Wengi wanasema wanasubiri mechi ya Liverpool vs Chelsea, Wala hawana mpango wa kwenda
Tunataka kumuongopea nani? Na ili iweje? Haya ni maswali yenye mantiki lakini majibu hakuna.