Zitto, Lissu na Lema, Waliyotabiri hakuna hata moja lililotimia

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
1. Lissu na Lema wameendelea kulelewa na wazungu maana yake walisingizia kwamba wamekimbia sababu ya Magufuli.

2. Igizo la Corona limeisha kama alivyotabiri Magufuli

3. Ndege tulizoambiwa na Zitto Kabwe kwamba Magufuli amenunua mitumba mpaka leo zinapiga kazi vizuri sana

4. Tanzania haijashtakiwa MIGA kama alivyotabiri Tundu Lissu

5. Mpaka sasa hamna ufisadi wowote aliofanya Magufuli ulioibuliwa na waliomchukia

6. Baada ya waliotumbuliwa na Magufuli kurudishwa serikalini ,utendaji wa Serikali umezorota sana, hivyo kuwafanya wananchi wagundue kumbe Magufuli hakuwa anamuonea mtu.

7. Baada ya Magufuli kuondoka Tanzania imeporomoka uchumi wa kati.
 
Kulwa Jilala, nyie Wasukuma mna matatizo gani? Magumashi alisha kufa, mwacheni huko apumzike.
Mkiona imekuwa ngumu anzisheni injili ya Magufuli, na utaratibu wenu wa kuabudu mumfanye awe mungu wenu, mumuabudu kwa nyimbo na mapambio
 
1. Lissu na Lema wameendelea kulelewa na wazungu maana yake walisingizia kwamba wamekimbia sababu ya Magufuli.

2. Igizo la Corona limeisha kama alivyotabiri Magufuli

3. Ndege tulizoambiwa na Zitto Kabwe kwamba Magufuli amenunua mitumba mpaka leo zinapiga kazi vizuri sana

4. Tanzania haijashtakiwa MIGA kama alivyotabiri Tundu Lissu

5. Mpaka sasa hamna ufisadi wowote aliofanya Magufuli ulioibuliwa na waliomchukia

6. Baada ya waliotumbuliwa na Magufuli kurudishwa serikalini ,utendaji wa Serikali umezorota sana, hivyo kuwafanya wananchi wagundue kumbe Magufuli hakuwa anamuonea mtu.

7. Baada ya Magufuli kuondoka Tanzania imeporomoka uchumi wa kati.
Una akili timamu kweli wewe? ccm muwe mnatafuta vijana wenye uwezo kidogo wa kujenga hoja
 
1. Lissu na Lema wameendelea kulelewa na wazungu maana yake walisingizia kwamba wamekimbia sababu ya Magufuli.

2. Igizo la Corona limeisha kama alivyotabiri Magufuli

3. Ndege tulizoambiwa na Zitto Kabwe kwamba Magufuli amenunua mitumba mpaka leo zinapiga kazi vizuri sana

4. Tanzania haijashtakiwa MIGA kama alivyotabiri Tundu Lissu

5. Mpaka sasa hamna ufisadi wowote aliofanya Magufuli ulioibuliwa na waliomchukia

6. Baada ya waliotumbuliwa na Magufuli kurudishwa serikalini ,utendaji wa Serikali umezorota sana, hivyo kuwafanya wananchi wagundue kumbe Magufuli hakuwa anamuonea mtu.

7. Baada ya Magufuli kuondoka Tanzania imeporomoka uchumi wa kati.
Mjane wa ibilisi kwenye ubora wako
 
Nabii Lemma alitabiri kuwa mwovu asipoacha uovu wake atakufa, mwovu akashupaza shingo na hatima yake wote tuliona utabiri wa Lemma ukitimia
 
1. Lissu na Lema wameendelea kulelewa na wazungu maana yake walisingizia kwamba wamekimbia sababu ya Magufuli.
2. Igizo la Corona limeisha kama alivyotabiri Magufuli
3. Ndege tulizoambiwa na Zitto Kabwe kwamba Magufuli amenunua mitumba mpaka leo zinapiga kazi vizuri sana
4. Tanzania haijashtakiwa MIGA kama alivyotabiri Tundu Lissu
5. Mpaka sasa hamna ufisadi wowote aliofanya Magufuli ulioibuliwa na waliomchukia
6. Baada ya waliotumbuliwa na Magufuli kurudishwa serikalini ,utendaji wa Serikali umezorota sana, hivyo kuwafanya wananchi wagundue kumbe Magufuli hakuwa anamuonea mtu.
7. Baada ya Magufuli kuondoka Tanzania imeporomoka uchumi wa kati.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom