Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania....na kazi iendelee. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au hoja yangu kuhusu Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA) Kwa...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inaendelea na mpango wa kutengeneza mazingira wezeshi kwa watanzania ili waweze kujikwamua kiuchumi kupitia mikopo yenye masharti nafuu...
Hapo zamani nauli za ndege hasa kwa upande wa fast jet zilikuwa nafuu sana hadi mnyinge kama mimi nikapanda kama mara tatu hivi.
Lakini alipoingia hayati magufuli akawafukuza fast jet nchini...
Ninavyofahamu Sera ya Elimu Bure, Bima ya Afya kwa wote na Cement mfuko tsh 5000 Ilikuwa ni Sera ya CHADEMA yule shujaa Magufuli aliipora tu.
Sasa kama CCM itataka kufanikiwa kwenye hizi Sera ni...
Na Charles William
Innocent Bashungwa amekua waziri katika wizara nyingi sana ndani ya muda mfupi, kutoka 2018 - 2022 amekua waziri katika wizara 6 tofauti.
2018 Rais Magufuli alianza kwa...
Majambazi ndio hutukia bunduki kupora na kuua watu, kuteka watu na kudai fidia
Awamu ya 5 ina sifa zote za ujambazi
Walikuwa wakivamia maduka ya kubadilishia fedha na bunduki na kuchukua fedha...
Huu mgogoro unaoendelea ni miaka 17 hadi sasa Kambenga hana hati yoyote ya kumiliki ekari 1000 badala yake anatishia wanakijiji kwa hukumu za michongo.
Jana askari wawili pamoja na familia ya...
Nikiwa katikati ya harakati za kusaka mkate wangu wa siku, nikakutana na hoja ambayo si tu kwamba ilinichosha bali ilinipa mahangaiko kutokana na UPOTOSHAJI mkubwa ambao ukiuangalia kwa ndani...
JE, VITAMBULISHO VYA MACHINGA NI LAZIMA AU NI HIYARI?
Kwa tafsiri yangu ya sheria ni kuwa Vitambulisho vya Machinga ni lazima na msingi wa tafsiri yangu ni rejea za sheria zifuatazo;
(1) Kifungu...
Waziri wa Ulinzi na JKT, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) amesema anajivunia kuongezeka kwa uzalishaji wa zao la msingi katika Shirika la Mzinga.
Ameyasema hayo Disemba 13, 2022, alipofanya ziara ya...
Suala la wateuliwa kutoka CWT kukataa uteuzi kwa baadhi yao kwa kweli ni fedheha kwa serikali ya rais Samia.
Waziri husika hakufanya kazi yake.
Tunavyofahamu uteuzi wowote serikalini, hasa kwa...
Wabunge wengi badala ya kutafuta suluhisho la mfumuko wa bei wanatafuta kiki tu.
Tumemsikia Gambo na Bushiru wote wana lalamika na kuuliza maswali wakati waziri wa kilimo alishajibu tena kwa...
Baada ya mateso ya muda mrefu kwa wananchi wa Mtwara na Mnivita kutokana na changamoto ya ubovu wa barabara, serikali sikivu ya Dkt. Samia Suluhu Hassani imetatua changamoto hiyo kwa kamilisha...
Hatuwezi kufika mwisho wa safari yetu kama tutasimama kila mahali kuwarushia mawe kila mbwa anayetubwekea.
Rais nimezisikia kelele zao, nimezisikia sauti zao pale kithalani wale waliolalamika bei...
Dodoma. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Liberata Mulamula ametaja kilichomfurahisha kwenye ziara za kamati kuwa ni basi aina ya Toyota Coaster.
Mulamula...
Jana bungeni Mbunge wa Kisesa Ndg Mpina alisema, serikali imetumia pesa nyingi nje ya bajeti akaongelea malipo ya Symbion zaidi ya Dollar 350,000
Mwigulu akamjibu kuwa serikali ilitumia...
By Luqman Maloto
RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha 2020-2021, imehitimisha awamu ya Dk John Magufuli. Ukaguzi ujao utaanza kummulika Rais Samia...
Mchango wa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina (Mb) akichangia kuhusu taarifa ya mwaka ya shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu na Kamati ya Kilimo Mifugo na Maji kwa...
Nimeona watu wanatema mapovu mtandaoni kuwa ni vibaya kuwasema watu waliokufa, hata kama walifanya mabaya kiasi gani
Kama watu waliokufa hawasemwi, basi tusingekuwa na somo la historia
Historia...
Hili suala la ushoga na LGBT kwa ujumla limekaa vibaya kwa siasa za kimataifa. Binafsi nadhani ni kitu ambacho itabidi kutoongelea kabisa au kuongelea kwa tahadhari kubwa.
Ni kweli kama nchi ina...