Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nakuomba Rais Samia Suluhu Hassan umeamua "kuliamsha dude" kuweka nchi yako sawa kimedani. Umekasirishwa na uporaji wa fedha zilizoitwa za "fidia kukiri kosa" au Plea-bargain Kwa kimombo. Ushauri...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
07 Feb, 2023 SERIKALI imesema imefungua milango ya ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Tanzania na Marekani kupitia Sekta Binafsi ili kuchochea biashara kupitia uwekezaji ikiwa ni...
0 Reactions
0 Replies
467 Views
WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AACHE HASIRA! KUJIBU MASWALI YA WABUNGE NI WAJIBU SIO FADHILA! 1) Ohooo...!! Nadhani hiyo statement ya Dkt. Mwigulu Nchemba ("Daktari wa Uchumi" na Waziri wa Fedha) kuhusu...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Antipas Lissu amesema kama kweli Polisi wanamtaka Dereva wake kwa ajili ya ushahidi njia ya kumpata ni rahisi sana. Adam (Dereva) anaishi Ubelgiji na...
11 Reactions
10 Replies
2K Views
Magufuli ndiye aliyeanzisha Mfumo wa control number mwaka 2016 kwa ajili ya kupokea malipo yote yà Serikali kuanzia Tsh 1/- hadi Matrillion. Kwenye plea bargain ya mchongo waliamua kupokea hard...
18 Reactions
66 Replies
5K Views
Bashe ndiye waziri anayeongoza kwa kuwa na mawasiliano mazuri lakini Mwigulu mwana Ilboru mwenzangu nampa nafasi ya mwisho. Mwigulu ndugu yangu hii serikali ni ya viongozi wapole na wataratibu...
0 Reactions
5 Replies
714 Views
Kwetu sisi wana mbeya ushirikina ni usheitwani. Kamwe hatuwezi kukubali vitendo vya kishirikina daima dumu kwenye watu wenye ustaarabu. Dada yetu aliyeleta ushirikina hapa nyumbani kwetu mbeya...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Habari wakuu! Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Leo nimeona waraka mzuri sana kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (MoEVT) unaoruhusu wanafunzi wenye...
7 Reactions
97 Replies
4K Views
Japhet Hasunga ambaye alikuwa waziri katika Serikali ya Magufuli, amesema trilioni 300 ambazo zipo katika bodi ya rufaa za kodi za TRA ambazo zinatokana na ripoti ya Profesa Osoro na Mruma...
8 Reactions
82 Replies
9K Views
Nimeona humu watu wengi sana wakiishambulia serikali Kwa kutozuia mazao kuuzwa nje ili kupunguza mfumuko wa bei. Ukweli ni kwamba serikali inaweza kuzuia mazao kuuzwa nje. Jambo hilo ni hatari...
16 Reactions
101 Replies
4K Views
Lissu ameyasema hayo kwenye kipindi cha Clouds 360 alipoulizwa mpango wa kulianzisha kuhusu kesi yake maana sasa yuko nchini ambapo alisema; Jeshi la Polisi ndio wenye mamlaka ya kuchuguza, wenye...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Akizungmza Bungeni, leo Februari 7, 2023, wakati wa kuchangia ripoti ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mbunge Geoffrey Mwambe amesema Serikali inalazimika kulipa fedha nyingi...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Mbunge wa Geita Vijijini Msukuma amesema alifuatilia hoja ya Mfumuko wa Bei ikijadiliwa Bungeni akiwa safarini Marekani na alichukizwa sana na majibu ya Waziri Mwigullu Nchemba. Musukuma anasema...
23 Reactions
180 Replies
12K Views
Leo naomba niseme tu ya moyoni bila kuweka siasa. Jamii zetu sisi kama Watanzania kwa kuishi kwangu nje ya nchi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Lakini nimekaa na jamii tofauti, nimetembea nchi...
1 Reactions
0 Replies
435 Views
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema kwa sasa Tanzania ina maadui Wakuu wawili Katiba ya 1977 na CCM Hivyo Mnyika amewaomba wananchi wajidhatiti kuhakikisha Katiba Mpya inapatikana na...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Hoja zenye nguvu ndio sifa na tabia iliyotuvutia wengi wetu kujiunga CHADEMA, wengi tuliijenga CHADEMA katika Taasisi za Elimu ya Juu tukitegemea kupanda mbengu za mabadiliko. Harakati na kujitoa...
0 Reactions
3 Replies
367 Views
Binafsi sikubaliani kabisa na ushenzi aliofanyiwa Lissu na watu ambao hadi leo hawajajulikana. Lile tukio lilikuwa ovu mno kuwahi kutokea. Mimi naamini katika utawala wa sheria. Kama kuna kosa...
0 Reactions
4 Replies
639 Views
Ni tafakari tu Kwamba kuku wa kwako mwenyewe jioni anarudi bandani kwanini utumie nguvu kubwa kumkimbiza mchana kama unataka kumchinja? Si unamsubiria akishaingia bandani Sidhani kama...
11 Reactions
68 Replies
3K Views
Rais wa nchi anayetokana na CCM kuwa mwenyekiti wa CCM Taifa ni utamaduni tu ndani ya CCM na wala si takwa la kikatiba la chama hicho. Kwa sasa Mwenyekiti wa CCM ni Samia Suluhu Hassan kutokana...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Akizungumza na Azam Tv M/Kiti wa wafanyabiashara wa mazao ya chakula amedai Tanzania haina tena uwezo wa kujilisha na chakula chote hivi sasa kinatoka Nchi jirani ya Zambia na Malawi. Ikumbukwe...
3 Reactions
58 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…