Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Februari 7, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 6 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imebaini Miamala kufutwa au baadhi ya tarakimu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
*UKIELEWA MAZURI YA BIMA YA AFYA KWA WOTE, HUWEZI TENA KUPINGA MPANGO HUU WA SERIKALI. Leo kwenye Gazeti la Tanzania Leo nimeuchambua Mpango wa Serikali wa kuja na Bima ya Afya kwa wote ambao...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi. Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa...
10 Reactions
102 Replies
6K Views
Mkuu wa Wilaya aliyetumbuliwa, Richard Kasesela amesema wanaotaka vyeo vya Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya viondolewe hawana akili. Source: Jambo TV
0 Reactions
11 Replies
886 Views
Huwezi kusaliti Kitu ambacho wewe siyo sehemu yake CHADEMA kuikosoa CCM na Serikal yake au kumkosoa Mwenyekiti wa CCM siyo Usaliti ni sehemu ya Majukumu yao ya Siasa za Upinzani Nimemsikia Tundu...
2 Reactions
1 Replies
424 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Nathan Belete na ujumbe wake. Dk. Mwinyi ameipongeza...
0 Reactions
0 Replies
412 Views
Bavicha imetoa taarifa Kuwa Mwalimu Elisha Chonya aliyekamatwa kwa kuwapiga picha wanafunzi wakiwa wamekaa chini darasani ameachiwa kwa Dhamana na anatakiwa kuripoti polisi Jumatatu Chonya ni...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Gazeti la raia mwema limeandika kuwa CHADEMA Kunafukuta. Kuna makundi mawili ya Mbowe na Lissu. Ni mafahali wawili ndani ya zizi moja. Nimewahi kusema hili suala lakini nikaishia kutukanwa, Leo...
2 Reactions
107 Replies
8K Views
Chawa wa Lumumba wako busy kutuhabarisha Ziara ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema badala ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM hakika inafurahisha sana. PIGENI KAZI MACHAWA kwa Taarifa zaidi kwa kila...
13 Reactions
55 Replies
3K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar Juma Burhan Mohamed na ujumbe wake...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Kuna wakati Hangaya akijinasibu Kwamba Yale yaliyotokea awamu iliyopita hayatatokea Tena Awamu Hii. . Je watu wamemsoma na Kujua udhaifu wake na sasa wanajipigia Fedha watakavyo? . Ila Huyu mwana...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Mbunge wa Viti Maalumu, Jacquline Ngonyani (CCM), ametaka ifungwe mashine maalumu bungeni ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa. February 7, 2019 Mbunge wa viti maalum CCM Jacqueline...
6 Reactions
159 Replies
29K Views
Tunakumbushana tu Tabia za Mawaziri wa Fedha popote pale duniani Yuda Iskarioti ndio mbeba maono wa Mawaziri wa Fedha Waziri wa Fedha ni lazima autamani uRais popote pale duniani Wana fitna na...
13 Reactions
33 Replies
2K Views
  • Closed
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa. Hali yake ni mbaya, na...
51 Reactions
418 Replies
32K Views
UCHUMI IMARA HUJENGWA NA WANANCHI WENYE AFYA IMARA. Na Konakuze Bodi 0759754034 mswaada wa bima ya Afya kwa wote ni sera ambayo inalenga kuijenga, kuisuka, kuimarisha sekta ya Afya na kuwakomboa...
0 Reactions
1 Replies
403 Views
Mda sasa toka Mh. Lissu ashambuliwe kwa risasi na kuokoka kwa kudra ya mwenyezi Mungu. Waingereza wanamsemo- he survived (lived) to tell the story. Kwenye jinai ufumbuzi unapatikana kwa kufanya...
-3 Reactions
79 Replies
3K Views
Mheshimiwa Spika Tulia Akson tafadhali chukua nafasi yako kama kiongozi wa bunge kuhakikisha serikali inajibu hoja zote za wabunge kwa ufasaha vinginevyo bunge litapoteza heshima yake. Mwigulu...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Februari 8, 2023 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 10, Kikao cha 7.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
"Rais Samia Suluhu Hassan ananiita mdogo wangu mpaka leo. Hata alipokuja Ubelgiji mwaka jana aliwaambia wale wapambe wake 'mmemuona mdogo wangu?" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Awamu ya tatu na ya nne tulikuwa na wazir mwenye misimamo mikali kabisa alieitwa John Pombe Joseph Maghufuli, Kwa sasa tuna wazir wa namna hyo hyo anaitwa Hussen Bashe ..... Bashe ni mzalendo ...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…