Tuwe Wakweli, CHADEMA kupingana na Magufuli au CCM siyo Usaliti kwa sababu wao hawatekelezi Ilani ya CCM, Lisu alighafirika!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,145
Huwezi kusaliti Kitu ambacho wewe siyo sehemu yake

CHADEMA kuikosoa CCM na Serikal yake au kumkosoa Mwenyekiti wa CCM siyo Usaliti ni sehemu ya Majukumu yao ya Siasa za Upinzani

Nimemsikia Tundu Lisu pale Clouds akisema Shujaa Magufuli aliposema Wasaliti washughulikiwe baada ya massa mawili ndio akashambuliwa

Nadhani TAL alighafirika kwani kwa nafasi yake Ndani ya Chadema hawezi kuwa Msaliti wa CCM anaweza tu kuwa anavunja sheria fulani na atapaswa kuishughulikia kwa mujibu wa katiba ya nchi

Zitto Kabwe kwa mfano alipotaka Kumpindua Freeman Mbowe.pale Chadema ndio alikisaliti Chama chake mwenyewe

Mbarikiwe sana!
 
CCM hawajui chochote ni mambumbu
 
Back
Top Bottom