Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,200
- 27,251
Gazeti la raia mwema limeandika kuwa CHADEMA Kunafukuta. Kuna makundi mawili ya Mbowe na Lissu. Ni mafahali wawili ndani ya zizi moja.
Nimewahi kusema hili suala lakini nikaishia kutukanwa, Leo gazeti la raia mwema wameweka wazi kila kitu.
Huu mgogoro uliopo utaisha kwa mpasuko mkubwa sana ambao utaenda kukipasua kabisa chama. Yote haya inasemekana ni Vita ya uongozi kuelekea 2025.