Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952

Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.

=====

Habari hii imekanushwa na mkuu wa Magereza
 
Kwa taarifa za haraka,inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa,shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza,Kisongo mjini Arusha,anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya,na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio,na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio......

Yaani kama kuna uwezekano ahasiwe kabisa asije akazaa kizazi kichafu kama yeye.
 
Kwa taarifa za haraka,inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa,shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza,Kisongo mjini Arusha,anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya,na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio,na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio......
Kwani Watazania wangapi wanao teseka na walio teswa na hilo li jitu lako. Wengine mpaka kupigwa lisasi, Sabaye hapendwi na wananchi huo ndo ukweli.
 
Kwa taarifa za haraka,inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa,shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza,Kisongo mjini Arusha,anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya,na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio,na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio......
Malipo hapa hapa dunian
 
Eti alikuwa anajifanya USALAMA WA TAIFA 😂

Usalama wa taifa aishie kwenye aibu namna hiyo mwisho wa siku 😳

😂😂😂... Kuna vitu vinachukuliwaga poa sana! Wangejua yeye ni boss wao wangemshurutisha namna hiyo?! 😂😂😂👍🏾

Jamaa FALA SANA!

#MALIPONIHAPAHAPADUNIANI
 
Kikosi Maalum Cha Kuziua Ghasia Gerezani ni balaa wakiingia sehemu ni kazi kweli kweli kama ikiwa taarifa hii ni ya ukweli.

kikosi maalum cha kuzuia ghasia Gerezani wanaotambuliwa kwa kifupi (KM) kazi yao ni kurejesha nidhamu ndani ya gereza na huwa hawalengi mtu mmoja bali wote ili kurejesha hali ya kawaida inayotakiwa.

Ni ngumu KM kuelekeza majukumu yao kwa mtu mmoja, wao ni kuelekeza majukumu yao kwa wote kwa wakati mmoja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom