Ni Magufuli tena.
Tukio hilo la kihistoria la kushushwa kwenye maji kwa meli hiyo inayojengwa katika Bandari ya Mwanza Kusini litaongozwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa...
Wadau najua hakuna kinachoshindikana kwa serikali ikitaka kujua jambo au mambo yote yanayotokea kwenye hiyo nchi, labda tu iwe haitaki. Kuna haya matukio ambayo mpaka sasa serikali haijayapatia...
Wakuu,
Jamaa wameruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa waliyokua wanalilia kila wakati, inashangaza mbona hawana hata hoja za maana?
Haikuepo sababu kabisa kuwazuia wasifanye mikutano...
Kitendo cha Waziri wa Fedha kukiri kwamba akiba ya Taifa ya Fedha za kigeni ilichotwa na fedha kutumika kwa ujenzi wa Madarasa ni kiashiria cha dhahiri kukosekana fedha katika njia za kawaida...
Mtunzi mmoja maarufu, George Bernard Shaw, aliwahi kusema: "Ikiwa wachumi wote wangewekwa kona hadi kona, hawangefikia hitimisho (tamati)." (Tafsiri yangu)
Kwa hiyo, inakuwaje wachumi wawili...
Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo...
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Bungeni Dodoma, kwamba kwa mara ya kwanza tangu kuzaliwa kwa CCM mbunge wa Chama hicho amesimama bungeni na kudai Katiba mpya.
Luhaga Mpina aliyeshiriki kikamilifu...
Sijui kama ameandaliwa makusudi au vinginevyo.
Ila angalau kwa sasa anaonyesha kuwa wabunge wa CCM wote yeye ndiye anaweza kumfunga paka kengele.
Anaongea yaliyofichwa na Serikali bila kuogopa.
Nimeamka nikiwaza hali ya upepo wa siasa za Tanzania. Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, vingi vyenye viongozi wanaoangalia maslahi yao wenyewe, wasiojenga vyama kwa nia ya kuliendeleza taifa...
USHAURI WA SPIKA BUNGENI KUHUSU UDAKTARI WA HESHIMA (PhD)
Spika wa Bunge, Dr. Tulia Ackson ameshauri Taifa kufahamu utaratibu mzuri wa kutumika linapokuja suala la utoaji wa Degree za heshima kwa...
Ndugu zangu watanzania,
Siku zote watanzania walihitaji na walikuwa na kiu ya kuwa na kiongozi mkuu wa nchii na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama atakaye kuwa...
MAHINDI YAANZA KUSHUKA BEI KWA KASI SOKONI.
Hali bei ya mahindi katika masoko makubwa ya Nafaka katika sehemu mbalimbali mikoani imeonekana kuwa na ahueni mkubwa kutoka Tzs 25,000 kwa Debe hadi...
Mfano hapa JF uzi wa vikao vya Bunge kila siku umekuwa ukidoda haumalizi hata page 2
Lakini nyuzi za mikutano na mahojiano ya Tundu Antipas Lissu kwenye television mbalimbali zimejazana Kiasi...
Ni vyema kuanzisha Makanisa kwa lengo la kusambaza Injili ila kinachosikitisha sasa hivi kuna kundi ambalo limevamia eneo hili nyeti kutokana na aidha ugumu wa Maisha, tamaa ya utajiri, uelewa...
Nilishangazwa Sana na taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gershon Msigwa, kuwa Serikali imeshindwa kuupeleka Bungeni katika kikao kinachoendelea hivi sasa, muswada wa marekebisho ya...
Siyo siri tena kuwa tangia kurejea nchini kwa mwanasiasa TAL, hali ya kisiasa nchini imebadilika kabisa.
Haipo shaka kuwa huyu ndiye mwanasiasa anayefuatiliwa zaidi kwa sasa hapa nchini na...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema tumshukuru sana Rais Samia Suluhu kwasababu alipoingia madarakani aliamua kwanza kufungua...