Je, kupigwa risasi na kunusurika kufa inaweza kuwa sifa ya mtu kupelekwa Ikulu na kuwa Rais wa JMT?

yvegenc prymacov

JF-Expert Member
Jan 22, 2023
1,527
1,913
Habari wana bodi,

Kwanza nikiri kabisa kuwa tukio la kipigwa risasi kwa Tundu Lissu mie lilinishtua sana na kunisikitisha. Naamini kupigwa risasi kwa Tundu lissu kulipangwa, lakini kuamini kuwa serikali ilihusika ni ujinga na umbirikimo wa fikra, siamini kama serikali inaweza kufanya jambo la kijinga kiasi hicho.

Hoja yangu kubwa hapa ni kuwa je Tundu Lissu anafaa kupewa Urais kwenye uchaguzi ujao kisa tu kapigwa risasi na kunusulika kufa?
 
Habari wana bodi,

Kwanza nikiri kkabisa kuwa tukio la kipigwa risasi kwa Tundu lussu mie lilinishtua sana na kunisikitisha. Naamini kupigwa risasi kwa Tundu lissu kulipangwa, lakini kuamini kuwa serikali ilihusika ni ujinga na umbirikimo wa fikra, siamini kama serikali inaweza kufanya jambo la kijinga kiasi hicho.

Hivi huyo KIJANA anafanana hata kuwa barozi wa nyumba kumi?
 
Habari wana bodi,

Kwanza nikiri kkabisa kuwa tukio la kipigwa risasi kwa Tundu lussu mie lilinishtua sana na kunisikitisha. Naamini kupigwa risasi kwa Tundu lissu kulipangwa, lakini kuamini kuwa serikali ilihusika ni ujinga na umbirikimo wa fikra, siamini kama serikali inaweza kufanya jambo la kijinga kiasi hicho.

Hoja yangu kubwa hapa ni kuwa je Tundu Lissu anafaa kupewa Urais kwenye uchaguzi ujao kisa tu kapigwa risasi na kunusulika kufa?
Huwezi kukagua gwaride la heshima ukiwa vile

USSR
 
Habari wana bodi,

Kwanza nikiri kkabisa kuwa tukio la kipigwa risasi kwa Tundu lussu mie lilinishtua sana na kunisikitisha. Naamini kupigwa risasi kwa Tundu lissu kulipangwa, lakini kuamini kuwa serikali ilihusika ni ujinga na umbirikimo wa fikra, siamini kama serikali inaweza kufanya jambo la kijinga kiasi hicho.

Hoja yangu kubwa hapa ni kuwa je Tundu Lissu anafaa kupewa Urais kwenye uchaguzi ujao kisa tu kapigwa risasi na kunusulika kufa?
Je kupiga wengine risasi inaweza ikawa ni sababu ya kubaki popote pale ulipo?
 
Habari wana bodi,

Kwanza nikiri kabisa kuwa tukio la kipigwa risasi kwa Tundu Lissu mie lilinishtua sana na kunisikitisha. Naamini kupigwa risasi kwa Tundu lissu kulipangwa, lakini kuamini kuwa serikali ilihusika ni ujinga na umbirikimo wa fikra, siamini kama serikali inaweza kufanya jambo la kijinga kiasi hicho.

Hoja yangu kubwa hapa ni kuwa je Tundu Lissu anafaa kupewa Urais kwenye uchaguzi ujao kisa tu kapigwa risasi na kunusulika kufa?
KWELI UNA AKILI NDOGO SANA KWANI KATIBA YA NCHI INASEMAJE KUHUSU KUMPATA RAIS WA JMT?
 
Sio sifa ya kwenda Ikulu ila Mungu ana njia nyingi sana za kumuinua mtu, hasa binadamu mwenzake anapotaka kumuwekea vikwazo, Lissu atapata kura nyingi kisa wau tu wanamuonea huruma, Serikali ingeonyesha kujali japo kwenda tu kumjulia hali na kulipia matibabu, watu wasingefikiria sana kama inahusika, ila ule mchuno na maneno ya kejeli ndio vilikuwa vinatia mashaka.
 
Habari wana bodi,

Kwanza nikiri kabisa kuwa tukio la kipigwa risasi kwa Tundu Lissu mie lilinishtua sana na kunisikitisha. Naamini kupigwa risasi kwa Tundu lissu kulipangwa, lakini kuamini kuwa serikali ilihusika ni ujinga na umbirikimo wa fikra, siamini kama serikali inaweza kufanya jambo la kijinga kiasi hicho.

Hoja yangu kubwa hapa ni kuwa je Tundu Lissu anafaa kupewa Urais kwenye uchaguzi ujao kisa tu kapigwa risasi na kunusulika kufa?

Bila ajizi umetaka kutuaminisha kuwa serikali haikuhusika bila kuweka ushahidi wowote hata wa kimazingira.

"Kulikoni kutaka kuondoa kwenye reli?"

Zingatia: Kuna ushahidi mwingi wenye kumnyooshea kidole bwana yule kuwa ndiye aliyekuwa mhusika mkuu.

Kwanini tusianzie hapo penye kuwajibishana kwanza?
 
Habari wana bodi,

Kwanza nikiri kabisa kuwa tukio la kipigwa risasi kwa Tundu Lissu mie lilinishtua sana na kunisikitisha. Naamini kupigwa risasi kwa Tundu lissu kulipangwa, lakini kuamini kuwa serikali ilihusika ni ujinga na umbirikimo wa fikra, siamini kama serikali inaweza kufanya jambo la kijinga kiasi hicho.

Hoja yangu kubwa hapa ni kuwa je Tundu Lissu anafaa kupewa Urais kwenye uchaguzi ujao kisa tu kapigwa risasi na kunusulika kufa?
Kwa uelewa kama wako kupitia bandiko lako kuhusu Lissu, nafikiri huwezi kuelewa chochote kile kuhusu yeye. Ni kama vile unatafuta sababu za kwenda kununua nyama ya kitimoto msikitini.
 
Habari wana bodi,

Kwanza nikiri kabisa kuwa tukio la kipigwa risasi kwa Tundu Lissu mie lilinishtua sana na kunisikitisha. Naamini kupigwa risasi kwa Tundu lissu kulipangwa, l
Naunga mkono hoja
akini kuamini kuwa serikali ilihusika ni ujinga na umbirikimo wa fikra, siamini kama serikali inaweza kufanya jambo la kijinga kiasi hicho.
Kwa vile waliompiga risasi ni watu wasiojulikana, then wasiojulikana hawa could be anyone hata usiowadhania!. Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
Hoja yangu kubwa hapa ni kuwa je Tundu Lissu anafaa kupewa Urais kwenye uchaguzi ujao kisa tu kapigwa risasi na kunusulika kufa?
Yes hii ni sifa kubwa sana kwa Watanzania kupata rais alyetendewa muujiza ataliletea taifa letu miujiza!.
P
 
Habari wana bodi,

Kwanza nikiri kabisa kuwa tukio la kipigwa risasi kwa Tundu Lissu mie lilinishtua sana na kunisikitisha. Naamini kupigwa risasi kwa Tundu lissu kulipangwa, lakini kuamini kuwa serikali ilihusika ni ujinga na umbirikimo wa fikra, siamini kama serikali inaweza kufanya jambo la kijinga kiasi hicho.

Hoja yangu kubwa hapa ni kuwa je Tundu Lissu anafaa kupewa Urais kwenye uchaguzi ujao kisa tu kapigwa risasi na kunusulika kufa?

..Gari imara ni ile ambayo inaweza kupita katika makorongo.

..Raisi wa Tanzania ni AMIRI JESHI MKUU wa majeshi yetu na vyombo vya ulinzi na usalama.

..Lissu alipigwa marisasi na akaweza kuhimili mtikisiko.

..Kwa maana hiyo Lissu amepasi mtihani wa kuwa Amiri Jeshi Mkuu.

..Ukichagua hao wengine legelege utakuwa unacheza bahati nasibu.
 
Habari wana bodi,

Kwanza nikiri kabisa kuwa tukio la kipigwa risasi kwa Tundu Lissu mie lilinishtua sana na kunisikitisha. Naamini kupigwa risasi kwa Tundu lissu kulipangwa, lakini kuamini kuwa serikali ilihusika ni ujinga na umbirikimo wa fikra, siamini kama serikali inaweza kufanya jambo la kijinga kiasi hicho.

Hoja yangu kubwa hapa ni kuwa je Tundu Lissu anafaa kupewa Urais kwenye uchaguzi ujao kisa tu kapigwa risasi na kunusulika kufa?
Walinzi walitoroka lindo siku ya tukio nani amewajibishwa? Tuanzie hapo. Area D kwenye makizi ya viongozi panarndwa masaa 24. Akipgwa Riz 1 risasi tano tu leo hii na akaenda kutibiwa Africa kusini au Nairobi akiwa hajitambui bila kupita Muhimbili hata garamiwa matibabu na serikali? Unajua hofu iliyokuwa imetanda kwa wabunge wa ccm waliotaka kwenda kumjulia hali Lissu(mbunge mwenzao) kule Nairobi,muulize Nyalandu. Unajua kuwa God bless Lema alikaa ndani Geleza la kisongo kwa miezi zaidi ya minne? Na je unajua kilichowapata kina kafumu( mbunge wa Igunga na mwanakamati mwenzie na Lema) walipoenda kumsabahi Lema gelezani? HIYO NDO SERIKALI UNAYOIONGELEA YA SABAYA, BASHITE NA JIWE
 
Nchi hii Haina mashujaa Kwa sababu hakuna aliyewahi kupigania nchi na kupata uongozi. Kidogo Zanzibar Wana uzalendo mana hawakuipata nchi Mezani.

Hivi mtu kama Kagame au Museveni unaweza kumletea mambo ya kijinga kijinga wakati anajua ugumu wa kuingia Ikulu. Huku mpaka Chawa wanataka uraisi ma na wanaupata Urahisi kirahisi kupitia wizi wa Kura ndani ya CCM.

Lisu ni Mtu muadaka sana kuwa Rais wa nchi hii . Ameuoata uraisi Kwa kumwaga damu katika mapambano ya Kupinga SHERIA za wizi na usiri wa mikataba ya madini na kuwapa Wazungu Madini kupitia mikataba mibovu inayofanywa na Mawaziri Kwa Siri. Lisu amepambana bila woga mpaka akataka kuuawa na wezi wa Mali za umma .

Watu wanaupata Uongozi kirahisi kwenye nchi yenye Matatizo Mengi na wajanja wengi matokeo yake uongozi kwenye nchi hii ni dili na fursa Kwa watu kuwapua Mali za umma.
 
Back
Top Bottom