Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Habari wana JF.
Baada ya Kifo cha Mchungaji Mtikila, ambaye alikuwa ni kiongozi wa chama cha Democratic Party (DP), chama hiko kimepata pengo kubwa sana.
Mtikila alikuwa ndio kila kitu ndani ya chama hiko, maana sikuwahi kusikia hata Katibu Mkuu wa chama hiko ni nani, je nini hatima ya mwelekeo wa chama hiko baada ya kuondokewa na kiongozi huyo?