Maoni: John Heche agombee Urais 2030

Maoni: John Heche agombee Urais 2030

Kinjekitile Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
599
Reaction score
1,765
Poleni na majukumu wana JF!!!

Twende kwenye mada moja kwa moja…..Nimekuwa nikifuatilia historia za siasa za nchi hii kwa kipindi kirefu sana,

Mpaka nilipokuja kufanya hitimisho hivi majuzi kwa kumuona kuwa huyu jamaa (John Heche) ni mtu wa kazi sana na uwa anamaanisha anacho zungumza na anazungumsha anacho maanisha.

Watu wa kanda ya ziwa ndio watu wenye uchungu sana na taifa hili(historia inaonesha hivyo) kwa kuanza kwa Nyerere mpaka kwa Magufuli na uwa wanapenda haki sana,John Heche pia ni mmoja wao…..alipambana sana na Wazungu wa pale Nyamongo mpaka wazungu wakanyoosha mikono.

Ni mtu anayejiamini sana uwa hamung’unyi maneno.

Ni mchapakazi kweli kweli na yupo mbali na rushwa,tamaa au kutaka vyeo vikubwa kama wana siasa wengine walivyo na mwisho kabisa

Na mwisho kabisa hana ukabila, ukanda au udini kama wanaSiasa wengine wa upinzani au wa chama tawala walivyo

Maendeleo hayana chama🩴
 
Zaidi ya kulalamika, kichwani hamna kitu, huwa anajitia ujasiri feki, wakati alipigwa biti na JPM akatembea kwa miguu kutoka dodoma mpaka kondoa, akatokezea huko mbele
 
Poleni na majukumu wana JF!!!

Twende kwenye mada moja kwa moja…..Nimekuwa nikifuatilia historia za siasa za nchi hii kwa kipindi kirefu sana,

Mpaka nilipokuja kufanya hitimisho hivi majuzi kwa kumuona kuwa huyu jamaa (John Heche) ni mtu wa kazi sana na uwa anamaanisha anacho zungumza na anazungumsha anacho maanisha.

Watu wa kanda ya ziwa ndio watu wenye uchungu sana na taifa hili(historia inaonesha hivyo) kwa kuanza kwa Nyerere mpaka kwa Magufuli na uwa wanapenda haki sana,John Heche pia ni mmoja wao…..alipambana sana na Wazungu wa pale Nyamongo mpaka wazungu wakanyoosha mikono.

Ni mtu anayejiamini sana uwa hamung’unyi maneno.

Ni mchapakazi kweli kweli na yupo mbali na rushwa,tamaa au kutaka vyeo vikubwa kama wana siasa wengine walivyo na mwisho kabisa

Na mwisho kabisa hana ukabila,ukanda au udini kama wanaSiasa wengine wa upinzani au wa chama tawala walivyo

Maendeleo hayana chama🩴
🤣🤣🤣
 
Nani kawambia CDM haitosimamisha mgombea 2025?

Kama mgombea wa urais CDM 2025 atakuwepo, mbona hutujuzi unatuambia mgombea wa 2030?
 
Poleni na majukumu wana JF!!!

Twende kwenye mada moja kwa moja…..Nimekuwa nikifuatilia historia za siasa za nchi hii kwa kipindi kirefu sana,

Mpaka nilipokuja kufanya hitimisho hivi majuzi kwa kumuona kuwa huyu jamaa (John Heche) ni mtu wa kazi sana na uwa anamaanisha anacho zungumza na anazungumsha anacho maanisha.

Watu wa kanda ya ziwa ndio watu wenye uchungu sana na taifa hili(historia inaonesha hivyo) kwa kuanza kwa Nyerere mpaka kwa Magufuli na uwa wanapenda haki sana,John Heche pia ni mmoja wao…..alipambana sana na Wazungu wa pale Nyamongo mpaka wazungu wakanyoosha mikono.

Ni mtu anayejiamini sana uwa hamung’unyi maneno.

Ni mchapakazi kweli kweli na yupo mbali na rushwa,tamaa au kutaka vyeo vikubwa kama wana siasa wengine walivyo na mwisho kabisa

Na mwisho kabisa hana ukabila,ukanda au udini kama wanaSiasa wengine wa upinzani au wa chama tawala walivyo

Maendeleo hayana chama🩴
Heche urais urais umekuwa mrais sana kiasi hata wabwatukaji wanapewa

USSR
 
Watu wengi tu wanafaaa kuwa marais kwenye hii nchi, ni swala tu la kupewa ridhaa.....
 
Akitoka Tundu Antipas Lissu mwanaharakati mwingine wa kweli ambaye hawezi kuyumbishwa ni John Heche.
 
Tupambanie KATIBA mpya,

Tusiweke Imani Kwa individuals, Bali mifumo Bora na Imara.

Kama yule Muraa Waitara ambaye ALITAHIRIWA bila ganzi kwa kisu butu bila Kutoa machozi, alilainishwa na PESA akaisaliti CDM Leo uniambie Eti Heche!!!!
 
Back
Top Bottom