Djumbe ambaye anafahamika kama "KOMANDO KIPENSI" kutokana na namna alivyowaponyoka wauaji waliomteka ili wamuue kwa maagizo ya serikali ya Tanzania, amefika nyumbani kwa Wakili Msomi Martha Karua...
Makonda aache kusema anatafuta pesa za kujenga msikiti mkubwa Arusha
awe mkweli aseme ametumwa na Rais ajenge msikiti mkubwa Arusha na mfadhili ni dp world waliozawadiwa bandari
mikoa lengwa...
Nitazungumzia tukio hili la Oktoba 29 mara kwa mara [Amnesty International] kwa sababu historia isiposomwa kwa weledi, ina tabia ya kujirudia katika sura mbaya zaidi. Kulinyamazia tukio hili ni...
Ni kitu ambacho tumeanza kukiona mara kadhaa kwenye matukio makubwa siku hizi.
Hata Oktoba 29 mwaka jana, wengi walidhani utakuwa mgomo mdogo, utaisha siku hiyo hiyo, watu wachache watakamatwa...
Habari Wana JF
Leo nilikuwa natafakari ni jinsi gani watu wa DRC walivyomuua Waziri Mkuu wao wa Zamani Patrice Lumumba mwaka 1961. Ukiangalia zile picha za video wakati Lumumba anakamatwa...
Kuna wakati ukiona maisha ya viongozi wakubwa wakisiasa yalivyo ya luxury unatamani ungekuwa mmoja wao au pengine hata watoto wako mmoja wao aje kuwa kiongozi mkubwa wa kisiasa kwasababu huko kuna...
Wakati wabunge na viongozi wa kidiplomasia kutoka nchi zaidi ya 140 wakimiminika jijini Arusha kwa ajili ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) utakaofanyika kuanzia Oktoba 5 hadi 9...
THE VICIOUS CYCLE OF YOUTH UNEMPLOYABILITY.
Naomba leo nizungumze na mamlaka ya Serikali Ofisi ya Rais Tume ya Utumishi wa Umma chini ya Waziri Mhe. Ridhiwani Kikwete, pia Sekretarieti Ya Ajira...
Naomba niwakumbushe wafuasi wake kwamba wasifurahie mambo yaliyowasilishwa mbele ya hadhara kwa ajili ya mtuhumiwa, watesi wake bado wanamuwazia mabaya; kumbukeni ana risasi anatembea nayo, hii...
Jeshi la polisi linaendelea kuingia katika kashifa mbaya dhidi ya matukio ya mauaji yanayoendelea nchini Tanzania.
Awamu hiii ukiondoa ile ya kigamboni ambapo, bwana mmoja alivutwagwa pumbu, na...
TUNDU LISSU ANAPIGANIA MAMBO YA MSINGI KULIKO HATA DUDU BAYA. LAKINI ANGALIA AKILI ZA WABONGO WENGI HOPELESSLY.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ukitaka kujua akili za watu angalia yale...
πππ§. π πͺπππ¨ππ¨ πππππ¨π π π₯πππ πͺπ ππ’π¦π£ππ§πππ π¬π πͺππππ¬π π¬π ππ¨π‘ππ
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Oktoba 03, 2026 amekagua mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara ambapo mpaka...
Kusambaa kwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wa kiume Ikulu kumezua gumzo kubwa mitandaoni, likizua maswali mazito kuhusu heshima ya Ofisi ya Rais na maadili ya jamii.
Hoja ya...
Wafuasi wa chadema wanafanya mambo ambayo hata ambaye hakwenda shule hawezi kufanya ni siasa za kipumbavu na za hovyo kuwahi kutokea nchini zilifanywa na Hilda newton ambaye ni kiongozi wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeunda kamati maalum ya Katiba mpya, itakayohakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya 2027.
Akizungumza na waandishi habari leo tarehe 17 Juni...
Ukiona Mambo yanavyokwenda unaona kabisa Kwamba Mwigulu hatodumu.
Ukiona namna ya Nchimbi yalivyoanza basi huwezi kushangaa hali ilivyo kwa Mwigulu na kiukweli atakwenda na maji
Wanabodi,
Hii ni makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo, hili ni ombi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju, kumkumbusha kuwa Mahakama ndie the costodian (Mlinzi ) wa Katiba ya...