Umemsikiliza mpaka mwisho?Uki consider maswala ya urban planning na mambo ya human settlement,jamaa haongei fact.. sema tutafanyaje sasa
PoaUmemsikiliza mpaka mwisho?
Mimi sitaki kupinga kila kitu hata km mtu simkubari akiongea point naichukua akiongea mashudu namshukia km mwewe, alichosema sio kibaya shida je kinatekelezeka?
Kwanini? kwa sababu TANESCO wakija kukuwekea umeme hawaangalii unaishi wapi bali wanaangalia mazingira unayoishi yapoje?,
zipo mita za luku kwa ajili ya matumizi madogo ambazo kwenye matumizi yako ya mwezi hutakiwi kuzidisha Tshs. 10,000
hii niliikuta sehemu huko bush siku umeme ulipoisha kabla ya mwezi kuisha nikataka kununua umeme mwenyeji wangu akaniambia nisinunue kwanza mpaka wawasiliane na watu wa TANESCO kwanza ambae walikua wanafahamiana nae ili awafanyie mpango wa token kwa namna anayoifahamu yeye la sivyo wakinunua kiholela bila taarifa na ikaonekana imevuka 10,000 wanatolewa kwenye matumizi madogo wanapelekwa matumizi makubwa
na zingine ni zile kwa ajili ya matumizi makubwa yaan matumizi yako ni kuanzia 10,000 kuendelea km Kiwanda cha kukata na kupasua mbao
Ile issue yake ya cement iliishia wapi huyu? Sasa mfumo elfu 20Uki consider maswala ya urban planning na mambo ya human settlement,jamaa haongei fact.. sema tutafanyaje sasa
Kwa ilala kata za chanika na zingiziwa zinaweza kuhusika kwenye huu mpango?Ndugu mteja
Tunaomba tukupe uelewa kidogo, maelekezo uliyopata kwa jirani yako hayopo sahihi. Kwenye matumizi ya majumbani mita zote zipo sawa, isipokuwa vijijini serikali iliweka ruzuku kwenye unit kwa mteja anayetumia unit chini ya 75 kwa mwezi.
Kwa hiyo mita zote zipo sawa na hata kwa mteja mwenye ruzuku anaweza kutumia zaidi kulinga na nahitaji yake.
Luku ni tumia umeme kadri uwezavyo na sisi tunakushauri utumie kulingana na mahitaji yako.
Aidha, katika baadhi ya maeneo serikali imekuwa ikitekeleza miradi ya peri urban. Hivyo Makamu wa rais yupo sahihi, ni kazi yetu wataalam kuainisha maeno na kutekeleza.
Asante. ^FL
Faki the mazafakas. People don’t get credit for solving problems they created. Such efforts just serve to bring them to a neutral position!Uongo, uongo, uongo!
Cheap politics za CCM
Kumbe upo!Ndugu mteja
Tunaomba tukupe uelewa kidogo, maelekezo uliyopata kwa jirani yako hayopo sahihi. Kwenye matumizi ya majumbani mita zote zipo sawa, isipokuwa vijijini serikali iliweka ruzuku kwenye unit kwa mteja anayetumia unit chini ya 75 kwa mwezi.
Kwa hiyo mita zote zipo sawa na hata kwa mteja mwenye ruzuku anaweza kutumia zaidi kulinga na nahitaji yake.
Luku ni tumia umeme kadri uwezavyo na sisi tunakushauri utumie kulingana na mahitaji yako.
Aidha, katika baadhi ya maeneo serikali imekuwa ikitekeleza miradi ya peri urban. Hivyo Makamu wa rais yupo sahihi, ni kazi yetu wataalam kuainisha maeno na kutekeleza.
Asante. ^FL
Habari MAPITO Mwanza, asante kwa ujumbe wako,Kwa ilala kata za chanika na zingiziwa zinaweza kuhusika kwenye huu mpango?
Habari po sumbe , asante kwa kuwasiliana nasi,Kumbe upo!
Hili suala la umeme kukatika mara kwa mara/kuflactuate nini changamoto licha ya kuzindua bwawa wa Nyerere?
Kati ya wewe na yeye nani haongei facts? Acha ujinga basiUki consider maswala ya urban planning na mambo ya human settlement,jamaa haongei fact.. sema tutafanyaje sasa