BARUA YA WAZI KWA WAZIRI MHE.ANGELA MABULA NA WATENDAJI WAKE.
KILIO CHA WATANZANIA KWA OFISI ZA ARDHI DODOMA – WATU WANAPORWA HAKI ZAO
Tunawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Ipo tofauti kati ya ulinzi, usalama na maonyesho ya ulinzi.
Kiongozi mtaani kwenye uwanja wa vita.
Kiongozi mtaani nchini kwake.
Kwamba hatuna ya kujifunza ila labda wajifunze kwetu?
Siyo...
Yaani mnataka nani mwenye akili timamu awaamini nyie kuwa mnaweza kuwa na nia njema na taifa hili?.
Juu ya kulinda rasilimali za taifa kama madini mlishakiri wazi kuwa mtawapa wazungu wafanywe...
Haya ndiyo maajabu ya serikali za CCM. Zote baba mmoja, mama mmoja.
Ukisikia mtendaji au waziri kuwa ni mzalendo au mchapakazi kweli kweli, basi ujue hapo huyo kawazidi wenzake kwenye ile sifia...
Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi Hamad Y. MASAUNI (Mb) amefanya ziara ya siku mbili kikazi Wilayani Kilosa, ambapo alipata nafasi ya kutembelea ujenzi wa Gereza la Wilaya hiyo, kuzungumza na...
Jumatatu 20 Februari 2023, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa kuwa limewafukuza kazi Askari wake sita mkoani Arusha (ambao hawajatajwa majina yao) katika kipindi cha miezi sita, kutokana na makosa...
Aloyce Nyanda, mwanachadema kindakindani ameajiriwa Azam Tv, katika kurasa mbalimbali za kijamii anazomiliki, amekuwa akitukana serikali na viongozi wake.
Tunasubiri uongozi wa AzamTv kama...
Wakulima mkoani Kagera wameandamana kwa ajili ya kumuomba msamaha Rais Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya wanasiasa ambao wamejifanya hawatambui mchango wa serikali hasa kwenye sekta ya kilimo huku...
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Adam Malima, amegeuka kuwa yeye ndiye askari Polisi, yeye ndiye usalama wa Taifa, kwa sababu hataki mtu kupinga kauli zake anapozungumza popote pale kwenye mkoa huo.
Wiki...
Shehe Ponda Issa amesema Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Mh Godbless Lema ametuma Pongezi kwa Waislamu 33 walioachiwa Huru Feb 16 na ambao wamekaa gerezani kwa Kati ya miaka 6 hadi 8.
Lema pia...
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze, nimepiga kura yangu kumchagua Rais kama ifuatavyo:
1. 1995 - Kura ya Rais - Agustine Lyatonga Mrema (NCCR Mageuzi). Mbunge pia nilimpa wa NCCR
2. 2000 - Rais -...
Watu wanaoipambania CCM ya sasa mitandaoni na katika media kwa juhudi kubwa ni wa kuhesabika na hawajai mkononi, hawa ni pamoja na Lucas mwashambwa CM 1774858 Jabali la Siasa Suphian Juma ...
SEHEMU YA PILI YA TAARIFA YA KIKAO CHA MBUNGE WA JIMBO NA WAKUU WA SHULE ZA MUSOMA VIJIJINI
Sehemu ya Kwanza ya Taarifa ya Kikao hicho:
Sehemu hii ilitolewa na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la...
Kwa mfano hapa Iringa bila Tundu Lissu hakuna mtu ataacha majukumu yake kwenda mkutanoni, tuko mashambani mjue.
Kiu ya wananchi ni Tundu Lissu na hili hata Mwenyekiti Mbowe analielewa vizuri...
Na WyEST
MWANZA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolf Mkenda amemuagiza Kamishna wa Elimu kufanya uchunguzi wa kina kwa Shule nne zilizobainika kufanya udanganyifu mkubwa...
Tumemsikia kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo bwana Zitto pale Mbagala Zakhem akitueleza Watanzania namna mambo ya ajabu yanayoendelea Bungeni.
Amesema kwa ufasaha kuwa kifungu namba 20 cha bajeti...
Mkurugenzi mkuu wa ATCL
mh Matindi amepuuza madai ya ACT Wazalendo na kusema ATCL iko Imara sana
Matindi amesema ATCL inaongeza safari safari kwenda China, India na Ulaya
Kadhalika ndege mpya...
Mapesa mengi yametoroshwa na kufichwa nje ya nchi ya Tanzania kwa muda mrefu!
Umefika wakati sasa serikali iache kuzunguka Mbuyu.badala ya hatua stahiki kuchukuliwa.
Uchunguzi huo uanzie awamu...
Namuongelea Kiongozi wetu, alianza vema sana kazi zake kwa kuhakikisha teuzi nyingi zinazingatia sifa, weledi, umoja wa kitaifa, dini na hata jinsia. Hata hivyo, kwa siku za karibuni ameanza...
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Charles Mwanziva tarehe 30 Januari 2023 amewasili rasmi Ludewa.
Victoria Charles Mwanziva alipokelewa kwa kishindo na Viongozi, Skauti wa Shule ya Sekondari...