Mwanza: RC Adam Malima aendeleza ubabe, anasweka watu ndani anavyotaka

Nyanswe Nsame

Senior Member
Joined
Jul 9, 2019
Posts
166
Reaction score
182
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Adam Malima, amegeuka kuwa yeye ndiye askari Polisi, yeye ndiye usalama wa Taifa, kwa sababu hataki mtu kupinga kauli zake anapozungumza popote pale kwenye mkoa huo.

Wiki iliyopita aliagiza Polisi kumkamata Mwenyekiti wa Chama wamiliki wa daladala mkoa wa Mwanza.

Kuacha hiyo, mkuu wa mkoa akiwa katika ukaguzi wa miradi wilayani Magu aliagiza Mwenyekiti wa ALAT mkoa wa Mwanza akamatwe na Polisi kwa kuwa aligomea kauli ya mkuu wa mkoa kuhusu utekelezaji wa miradi.

Kutokana agizo hilo aliwaonya wanahabari kuandika waandishi kuandika taarifa hiyo na hii ni kuonyesha udikteta.

Pia mkuu wa mkoa wa Mwanza, mara kwa mara amekuwa akiwatishia waandishi wa habari kuwa, atatimua kwenye mkoa wake wanahabari watakaoadika habari ambazo sio nzuri kwake, kuacha hilo amekuwa akigoma kuulizwa maswali kwenye mikutano na wanahabari.

Katika maeneo mengi amekuwa akijinasibu na kudai hakuna wa kumfanya chochote na yeye ndiye anaweza kufanya jambo lolote kwa atakayekwenda kinyume na matakwa yake.
 
Ni sababu amepewa cheo si kwa msingi wa uwezo wake bali ya ...ni mwenzetu
 
Imuuwa mamako

USSR
Ameua watu wengi sana.
...Ben Sa8
..Azory Gwanda
...wale ambao miili yao ilikuwa inaokotwa kwenye viroba.
..alimpiga risa Lisu
...aliwateka akina Mdude, Roma, Mo, nmk
..alipora fedha za akina Habinder Seth, Rugemalira na wenye maduka ya kubadilishia fedha za kigeni.

Jiwe afe Tena huko aliko.
 
Mtoa mada wacha umbeya na majungu.

Awamu hii ya 6 haipendi kusikiliza majungu na fitina bali ukweli tu.
Pigeni kazi acheni kupiga majungu
 
Ameua watu wengi sana.
...Ben Sa8
..Azory Gwanda
...wale ambao miili yao ilikuwa inaokotwa kwenye viroba.
..alimpiga risa Lisu
...aliwateka akina Mdude, Roma, Mo, nmk
..alipora fedha za akina Habinder Seth, Rugemalira na wenye maduka ya kubadilishia fedha za kigeni.

Jiwe afe Tena huko aliko.
Daah, raia mna hasira 😆😆😆😆
 
Hakuna ushahidi ni kama ile ya mbowe na chacha na Regina mtema

USSR
 
Majungu tupu!
Wewe. Nyanswe Nsame

Nimekufuatilia kwa muda mrefu....

Nimegundua,umekuwa ukitumika sana na wezi hapo Mwanza!

Nakumbuka uliwaji kuja na tuhuma za ajabu ajabu kuhusu kontena la mfanyabiashara nmoja hapo shule ya Pamba Sekondari.

Pia uliwahi mzudhia majungu ya kijinga yule OCD wa wilaya ya Serengeti, kwamba anatembea na wake za askari wake.

Baadae ikawa uongo mtupu!

Sasa unakuja na hii ya Malima!
Kwa nini hutaji minit za hivyo vikao?
Ili watu waelewe kiini cha hao viongozi kuwekwa ndani na mkuu wa mkoa.

Maana sasa hivi upigaji uko kwenye miradi yenye Force Account!

Sasa hivi ka-nchi kamekuwa ka wadokozi haka,mkiguswa tu,mnakimbilia majungu...

Mkikamatwa mnadai mmetekwa!

Mbona mama yenu naye hataki kusikiliza kero za wananchi kwenye mikutano ya hadhara?

Nyanswe Nsame acha majungu.

Nyanswe Nsame acha kutumika
View attachment 2524488
 
Uliza sasa hivi kama yale makontena yapo pale Pamba, walizuia upigaji wa pale na makontena yakaondolewa, kuhusu huyu mkuu wa mkoa kuendekeza ubabe fanya ufuatiliaji mikoa aliyotokea, anza na Mara ulinza na Tanga kama hautaambiwa kwamba kazi yake ni ubabe na kujisifia tu na utendaji wake wa kazi ni mdogo alafu uje tuanze kujadili.
 
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Adam Malima, amegeuka kuwa yeye ndiye askari Polisi, yeye ndiye usalama wa Taifa, kwa sababu hataki mtu kupinga kauli zake anapozungumza popote pale kwenye mkoa huo.

Wiki iliyopita aliagiza Polisi kumkamata Mwenyekiti wa Chama wamiliki wa daladala mkoa wa Mwanza.

Kuacha hiyo, mkuu wa mkoa akiwa katika ukaguzi wa miradi wilayani Magu aliagiza Mwenyekiti wa ALAT mkoa wa Mwanza akamatwe na Polisi kwa kuwa aligomea kauli ya mkuu wa mkoa kuhusu utekelezaji wa miradi.

Kutokana agizo hilo aliwaonya wanahabari kuandika waandishi kuandika taarifa hiyo na hii ni kuonyesha udikteta.

Pia mkuu wa mkoa wa Mwanza, mara kwa mara amekuwa akiwatishia waandishi wa habari kuwa, atatimua kwenye mkoa wake wanahabari watakaoadika habari ambazo sio nzuri kwake, kuacha hilo amekuwa akigoma kuulizwa maswali kwenye mikutano na wanahabari.

Katika maeneo mengi amekuwa akijinasibu na kudai hakuna wa kumfanya chochote na yeye ndiye anaweza kufanya jambo lolote kwa atakayekwenda kinyume na matakwa yake.
Ana histora ya kuvuta yale majani!
 
Back
Top Bottom