Tumeona uzinduzi wa kampeni za vyama pendwa vya siasa! Chadema wameanza ,wakaja cuf na kumalizia na act wazalendo!! Nilichojifunza ni kwamba act wazalendo wanakaa chini na kuandaa hotuba zao ...
Mwenyekiti wa Chama cha UDP anasema hakuna chama cha upinzani ambacho ni kikubwa kuliko vingine.
"Tunaona kuna chama tawala na kuna chama kinajiita sisi kikubwa!, hakuna chama cha upinzani...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametembelea vyombo vya habari vilivyopo Wilayani Rungwe na kujionea vipindi mbalimbali vinavyorushwa vituo hivyo sambamba na kuzungumza na wananchi.
Vituo...
Ninaangalia hapa kitindi cha Chetu ni Chetu kupitia ITV, naona malalamiko ya wafanyabiashara wadogo ndani ya stendi ya Igunga wakilalamikia agizo la Waziri wa Uchukuzi kuruhusu mabasi...
Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimeishauri serikali kwa kushirikiana na vyombo vya habari na makundi mengine kutenga siku maalum ya kuhamasisha watanzania kuwachangia wenzetu wa Uturuki na Syria...
Baada ya rais wa Tanzania kuruhusu mikutano ya hadhara mimi nilijiuliza ni ajenda zipi wapinzani wanapaswa kwenda nazo?
Pongezi Kwa mama Kwa kuruhusu mikutano?
Katiba mpya ambayo pia mama kasema...
MHE. NANCY NYALUSI AFANYA ZIARA YA KIKAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO - IRINGA
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa (CCM) Mhe. Nancy Nyalusi amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya...
MHE. NICHOLAUS NGASSA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MFUKO WA JIMBO.
Wajumbe wa Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Igunga wakipitia mchanganuo wa Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa ajili ya kuidhinisha matumizi...
Nimemsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani na nimesoma sheria inayotoa vitambulisho vya NIDA sijaona sehemu ambayo Waziri ana mamlaka yaku-extend validity ya kitambulisho cha NIDA Bila kuprint...
Kumekuwa na usumbufu usio na ulazima kwa baadhi yetu ambao tumewahi kukutana nao,inapotokea unatakiwa vyeti kwa lengo fulani mfano,fao la kustaafu,fao la uzazi,ajira nk.
Usumbufu unaojitokeza ni...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewatembelea wafanyabiashara wa Soko Kuu la Darajani, akiwa katika ziara hiyo ya kushtukiza alikutana na watu...
MBUNGE MH. MASACHE KASAKA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI MIRADI
Mbunge wa Jimbo la Lupa-Chunya, Mhe. Masache Kasaka ameendelea na ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo iliyopokea Fedha za Mfuko wa Jimbo...
Kwanini kila mzigo tunaangushiwa sisi wananchi...makodi matozo ni yetu tu pekee yetu wananchi wa wa kawaida.
Ila viongozi hasa wanaoitwa eti wanatuwakilisha bungeni, wanajitahidi kila sheria na...
Mwenyekiti wa chama cha roots na mgombea urais katika uchaguzi uliopita nchini Kenya Profesa George Wajackoyah yupo hapa Tanzania muda mfupi amemaliza kuongea na EATV na kuomba kuonana na Rais...
Ukisikia Bavicha ni Mwenyekiti wake John Pambalu
Ukisikia Bawacha ni Katibu mkuu wake CPA Ruge
Ndio najiuliza hizi Taasisi hazina Viongozi wengine ni hao Wawili tu?!!🤣
Nawakilisha
Kwaresma njema!
ALIYOYAFANYA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Aliyoyafanikisha mwaka 2022.
Madarasa Mapya 15,000
Wanafunzi 907,802 Wajiunga...
Nimejaribu kufanya tathmini ya Vijiwe na Madereva wa Bodaboda na Bajaj aiseee hawa Jamaa wako wengi sana
Nadhani Ndio wanamiliki Uchumi kwa sasa huu Uchumi mdogo wa mtaani
Mlale Unono!
Salute,
Aliyekuwa rais wa Tanzania, awamu ya tano, Hayati John Pombe Magufuli, alikuwa na sura kuu mbili:
1. Ndie kiongozi anayetuhumiwa kwa udicteta, ukatili, kunyang'anya watu pesa, ufisadi na...
Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe anatarajiwa kuzindua rasmi kanda ya Nyasa Februari 23 wilayani Sumbawanga Mkoa wa Rukwa na kisha kufungua mkutano wa hadhara mkoani Iringa Februari 28 mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.