Matindi: ATCL inapanua Safari zake kwenda China, India na Ulaya, ndege mpya ya mizigo kuwasili mwezi Ujao!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,992
142,009
Mkurugenzi mkuu wa ATCL
mh Matindi amepuuza madai ya ACT Wazalendo na kusema ATCL iko Imara sana

Matindi amesema ATCL inaongeza safari safari kwenda China, India na Ulaya
Kadhalika ndege mpya kubwa ya mizigo itawasili nchini mwezi March 2023

Chanzo: ITV habari
 
Halafu kuna wengine wajasema siasa za vuta ni kuvute zilikuwa wakati wa hii awamu nyuma!

....Hizi ni siasa za piga ua kamata firigisa....dunda (mfyonyo)...tulia!

Watanzania tunajuana vivyo hivyo.....mwisho wa siku tunakutana chini ya mwembe tuna kula draft njaa zinapungua. Taratibu watu wanasepa.

Lazima tujivunie na Ukarimu wetu na lugha zetu!

NB: Angalizo, Lugha hiyo juu haiwezi kuchachuliwa na mkarimani wowote yule. Mwenye akili timamu na za bandia. Soma utaelewa
 
Mkurugenzi mkuu wa ATCL
mh Matindi amepuuza madai ya ACT Wazalendo na kusema ATCL iko Imara sana

Matindi amesema ATCL inaongeza safari safari kwenda China, India na Ulaya
Kadhalika ndege mpya kubwa ya mizigo itawasili nchini mwezi March 2023

Source ITV habari
Manunuzi, ukarabati, zabuni nk zinazofanyika kipindi hiki ni CCM ya bi tozo katika maadalizi ya uchaguzi ujao. Niamini mimi
 
Mkurugenzi mkuu wa ATCL
mh Matindi amepuuza madai ya ACT Wazalendo na kusema ATCL iko Imara sana

Matindi amesema ATCL inaongeza safari safari kwenda China, India na Ulaya
Kadhalika ndege mpya kubwa ya mizigo itawasili nchini mwezi March 2023

Source ITV habari
Watakuja na fafanuzi za kila aina 🤣🤣🤣!! Next time atakuja mwingine na ufafanuz wake!!
 
Back
Top Bottom