Wakulima waandamana mkoani Kagera kwaajili ya kuwaombea msamaha wanasiasa ambao hawatambui mchango wa serikali katika sekta ya kilimo

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,161
2,517
Wakulima mkoani Kagera wameandamana kwa ajili ya kumuomba msamaha Rais Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya wanasiasa ambao wamejifanya hawatambui mchango wa serikali hasa kwenye sekta ya kilimo huku wakisema wengine wamekua wasomi kwa sababu wazazi wao waliwezeshwa kwenye kilimo kupitia serikali.

Maandamano hayo ya kumuomba msamaha Rais Samia yameanzia Mtaa wa Miembeni hadi ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila.

FB_IMG_1669297490087.jpg
 
kajekudya

JF-Expert Member
Sep 24, 2015
2,098
3,604
Wakulima mkoani Kagera wameandamana kwa ajili #HABARI Wakulima mkoani Kagera wameandamana kwa ajili ya kumuomba msamaha Rais Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya wanasiasa ambao wamejifanya hawatambui mchango wa serikali hasa kwenye sekta ya kilimo huku wakisema wengine wamekua wasomi kwa sababu wazazi wao waliwezeshwa kwenye kilimo kupitia serikali.

Maandamano hayo ya kumuomba msamaha Rais Samia yameanzia Mtaa wa Miembeni hadi ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila.

View attachment 2426235
Mbona kama hata hawajui kama wanaandama😂😂😂😂😂
 
Mvumbo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
3,089
10,308
Ukibahatika ukawa huna akili utaishi kwa raha sana maana kila kitu utaona kipo vizuri, nyeupe na nyekundu utaona zipo sawa, usiku na mchana utaona vinafanana, mrefu na mfupi tofauti yake pia hutaiona!

Ila ukiumbwa una akili timamu kichwani, hii Nchi unaweza ukafa mapema sana kwa stress.
 
semtawa

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
676
571
Wakulima mkoani Kagera wameandamana kwa ajili ya kumuomba msamaha Rais Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya wanasiasa ambao wamejifanya hawatambui mchango wa serikali hasa kwenye sekta ya kilimo huku wakisema wengine wamekua wasomi kwa sababu wazazi wao waliwezeshwa kwenye kilimo kupitia serikali.

Maandamano hayo ya kumuomba msamaha Rais Samia yameanzia Mtaa wa Miembeni hadi ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila.

View attachment 2426235
Tukiweka siasa kando na kujadili Fact; Rais Samia amefanya mageuzi makubwa mno ktk sekta ya kilimo. 1. Serikali kuweka ruzuku kupunguza bei ya mbolea. Leo nimesoma sehemu, shehena ya tani 400,000 za mbolea ya Russia zinazuiliwa kwa vikwazo, hali inayochochea bei kubwa ktk nchi zinazoendelea. 2. BoT kuweka utaratihu mzuri ambao taasisi za fedha kama CRDB na NMB zimeshusha riba ya mikopo ya kilimo, 3. Masoko nje kama China yamefunguka. 4. Bajeti ya kilimo, umwagiliaji safi. Changamoto ni climate ikija kukaa sawa tutaona impact ya kinachofanyika sasa#Wakulima wanayo haki ya kuonyesha hisia zao za kuridhishwa. Tuheshimu uhuru wao.🙏🙏🙏
 
16 Reactions
Reply
Top Bottom