Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tulipofika kila kiongozi anajitetea kwa wananchi kuwa anaijenga upya taasisi aliyopewa (upuuzi mkubwa huu) kila mmoja ukimuuliza atakwambia maika saba ya Magufuli hakukuwa na lolote lililofanyika...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya (EIB) imeeleza sababu za kurejea Tanzania na kufanya uwekezaji mkubwa wenye thamani ya Euro milioni 540 baada ya kutokuwapo kwa miaka saba nchini. Moja ya...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Longido, SIMON OITESOI ameingia kwenye mgogoro wa kiuongozi na kutakiwa kujiudhulu kufuatia kushindwa kusimamia mamlaka yake ipasavyo katika baraza la madiwani na...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Jumla ya miradi ya ujenzi ya maendeleo 12 kati ya 16 ( sawa na asilimia 75) katika mkoa wa Njombe imekutwa na kasoro mbalimbali katika utekelezaji wake baada ya Taasisi ya upambana na kuzuia...
1 Reactions
3 Replies
709 Views
Nijuavyo mimi ni rahisi sana kuusimamisha msafara wa hivi vyama vidogo vidogo au msafara wa Katibu wa CCM wa Wilaya kuliko msafara wa Mkuu wa nchi. Nimeshuhudia msafara wa Chadema kuelekea...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
ZIARA TARAFA YA LIGANGA, KATA YA LUGARAWA- KIJIJI CHA MDILIDILI- SHULE YA SEKONDARI LUGARAWA. Februari 23, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva akiambatana na Kamati ya Ulinzi na...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Hii kauli imezoeleka sana na watanzania. Ukweli hii ni kumtukana Rais. Maana yake unasema kuwa Rais hawezi kung'amua ushauri mbaya na mzuri. Kwamba wewe umeweza kuona ushauri mbaya aliopokea...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Hello 👍👍 Jana CHADEMA walikuwa na Mkutano wa Hadhara Sumbawanga, cha ajabu Mkutano ulikuwa wa Kumpamba Mbowe Ili aendelee kuwa Mwenyekiti na kwamba anatosha huku wakiacha kunadi sera zao. Mbowe...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wabunge wamesema utaratibu wa sasa wa usambazaji wa mbolea ni mzigo na mateso makubwa kwa wakulima. Wakiongea mbele ya RC Shigella Wabunge wamesema wakulima hutumia Gharama kubwa kufata mbolea...
1 Reactions
3 Replies
440 Views
RC Makalla unaingia gharama kusafirisha kundi kubwa la Wamachinga na Bodaboda kwenda Rwanda kujifunza " Mafanikio" ya Biashara Kumbe ungeweza tu kumualika Dr Musukuma ambaye mwaka 1980 alikuwa...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari Wadau. Wakati Nchi wanachama wa EAC Zikiunga Mkono azimio la Umoja la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuitaka Russia kuondoa Majeshi yake vamizi Nchini Ukraine,Tanzania imekimbia...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Serikali kukatia rufaa uamuzi wa Mahakama ya Afrika Mashariki kuhusu vifungu vya Sheria ya Huduma za Habari ambapo imetakiwa kuhakikisha vinaendana na Mkataba wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
SERIKALI ya Tanzania inajiandaa kuwasilisha bungeni, muswada wa mabadiliko ya Sheria ya Takwimu, ili “kujiondoa” kwenye kibano cha kunyimwa fedha za miradi ya maendeleo na nchi wahisani.”...
19 Reactions
79 Replies
7K Views
Huu ni ushindi kwa mabeberu waliokatalia baadhi ya misaada, wakishinikiza sheria ibadilishwe. BUNGE limefuta kifungu cha 37(4) cha Sheria ya Takwimu kinachotoa adhabu kwa mtu anayetoa taarifa...
1 Reactions
67 Replies
7K Views
Tumesikia na kuona maandalizi ya Kumpokea Lema ambae kwa utashi wake aliamua kwenda kuishi huko Canada. Lema ameamua kurudi kwa sababu anazojua yeye huenda huko alipo wememchoka n.k. lema ameamua...
2 Reactions
8 Replies
668 Views
Hii ndio taarifa mpya iliyopatikana jioni ya leo, kwamba wahanga hao waliokata minyororo ya utumwa, wanadai kwamba kinachowakimbiza CUF ni udikteta wa Lipumba. Inasemekana Haruna Lipumba...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu wanabodi.. Ushahidi wa Takwimu umebainisha jinsi Serikali ya Magufuli iliharibu Uchumi wa Tanzania Kwa kiwango Kikubwa. Kwa mujibu wa jarida la Tanzania Business Insight likinukuu...
14 Reactions
183 Replies
8K Views
Habari za jioni mabibi na mabwana. Ni maoni kwamba nia hii njema ya RJMT ipate muda wa kutosha katika mitandao ya kijamii na media kuu za nchi yetu. Ikiwezekana hata na media za kimataifa kama...
2 Reactions
4 Replies
926 Views
Hii ndio Taarifa ya nyongeza ambayo tumeipata leo kutoka huko Site , kwamba Bwana Mdude Nyagali na Majirani zake wamo kwenye Ratiba ya kufaidi VIBE la CHADEMA , kwa vile sasa kuna mkutano kabambe...
8 Reactions
39 Replies
3K Views
Lissu kasema bila kupingwa kwamba kikosi kazi cha kumpiga risasi yeye, kutunga kesi, utekaji wote mpaka wa Dewji umefanywa chini ya maelekezo na usamamizi wa mtu mmoja ambaye ni Balozi Kipilimba...
5 Reactions
64 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…