Rais wa Marekani Joe Biden siku ya Alhamisi alimteua mtendaji mkuu wa zamani wa Mastercard Ajay Banga kuongoza Benki ya Dunia.
"Ajay ana uwezo wa kuongoza Benki ya Dunia katika wakati huu muhimu...
Bila jitihada za serikali kuweka msisitizo wa kuzuia au kupunguza adhabu ya viboko mashuleni; kuna uwezekano mkubwa wa kuzalisha taifa lenye walemavu wengi!
Binafsi niliwahi kuchapwa enzi hizo...
Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema Mama ataendelea kununua Magoli ya Simba na Yanga kwenye match za kimataifa.
Ina maa itakuwa ya kudumu hii, nadhani haijakaa sawa kimfumo wa...
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki
Huu ni uzandiki wa kisiasa.
Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora...
Wakuu , natanguliza salamu , na baada ya Salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja .
Kwa mujibu wa Ratiba iliyotolewa na Chadema Kanda kabambe ya Nyasa ni kwamba leo 25/02/2023 kutavurumishwa...
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe Shaka Hamdu Shaka akimshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa niaba ya Wananchi Wa Kilosa kwa kuwapatia daraja,
BILIONI 7 ZA DKT SAMIA SULUHU HASSAN KUTUMIKA UJENZI WA...
Nauliza tu waungwana maana binadamu haishiwi lawama
Kwa hali ya Tunduma kwa mfano ukiitishwa Uchaguzi wa mbunge leo matokeo yatakuwa yale yale ya 2020?
Ngoja tuone Mbeya Mjini
Pale Tunduma...
Habari zenu wana JF wenzangu,
Ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo juu.
Wana JF wenzangu, siku mbili tatu zilizopita tumeshuhudia lawama, kejeli na vijembe...
Kunradhi Chadema Ufipa st Kinondoni Shamba Dar es salaam kwa kuwashauri muahirishe mikutano ya hadhara hadi kipenzi cha Wananchi mh Tundu Lisu arudi
Sikujua kama hata bila TAL moto ni Ule Ule...
Je, wale Maadui zake wapo au labda wameshakuwa Executed na waliopanga ile Mission dhidi yake?
Je, ana uhakika kuwa hakuna Mabaki ya Maadui zake waliomfanyia Tukio baya Dodoma yamebaki na kwamba...
Hospitali ya wilaya ya Longido inatumia pesa kiasi cha billion 3 kujenga hilo jengo la wilaya.
Unaweza kudhani kuwa ni uzushi kumbe ndio kweli, pesa zinaliwa kama wapinzani wa Magufuli...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Sophia Simba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii (ISW). Bi. Simba ni Mbunge Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Zaidi ya watu 5 wamekufa ktk mapigano ya kugombea ardhi kati ya wananchi na mabaunsa wa kampuni ya udalali ya Mwangata huko Mivumoni Tegeta. RADIO1 STEREO
Shirika la nyumba za Taifa (NHC) limelenga kutumia zaidi ya Sh460 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 5,000 nchini, huku asilimia 50 ya nyumba hizo ikitegemewa kujengwa eneo la Tanganyika...
HUMPHREY POLEPOLE SI KUBEZA
Na Thadei Ole Mushi.
Huenda Polepole yupo sahihi lakini Madhara ya anachokisema ni makubwa mno.
1. Yeye kama Kiongozi ana Platform kubwa zaidi kuliko Mimi na wewe ya...
Katika uongozi wake wa muda mfupi akiwa Msajiri wa Hazina Ndg. B. Mgonya alifanikiwa kutatua kero na malalamiko ya muda mrefu yaliyowakumba wastaafu wa mashirika ya umma yaliyobinafsishwa...
Rostam Aziz amepewa pole na Rais wa Kenya kwa usumbufu alioupata kwa miaka 5 kutokana na urasimu wa Serikali
Rais Ruto amesema kila Nyumba nchini mwake itakuwa na mtungi wa Gesi na ataondoa kodi...