Kwa Mateso waliopitishwa wana Tunduma sikutegemea kama kuna Chadema tena, Lakini cha kushangaza watu wamefurika kwa shangwe kwenye mkutano wa chadema, Furaha na nderamo kama vile watu wao...
Ni kipindi kirefu sana sijamuona, nafikiri mara ya mwisho kumuona ni kwenye kikao Cha kamati kuu kilichoteua sekretarieti mpya mwezi wa kwanza mpaka leo sijamuona wala kumsikia popote na sio...
Nguvu ya chama ni watu. Kwamba chama kina watu thabiti nyuma yake si habari Tena:
Inafahamika hatutapata katiba mpya kwa kuchezeshwa ngoma na CCM.
Hatutapewa katiba mpya kwa kuzingatia...
Ikumbukwe mzee Lowassa jina lake lilikatwa kwenye kura za Maoni CCM
Akaamua kwenda Chadema ambako alivunja Rekodi ya kupata kura nyingi kwa upande wa Upinzani tangu mfumo wa vyama vingi uanze...
Enyi viongozi wa vyama na wanasiasa,
Nataka niwaambie ukweli mchungu:
Mpaka sasa hakuna chama kilichojipambanua kuwakilisha mawazo ya wananchi wengi,
Kama wananchi watapiga kura 2025 watapiga...
Swali ni nani mmiliki wa viwanja vya Ghymkhana Dar es Salaam?
Tuanze kunywa mtori nyama ziko chini, naomba kumjua mmiliki na muendeshaji wa viwanja vile.
Updates:
Well, kinachoendelea sasa ni...
Kaimu Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya na Malezi ya Jumuiya ya Wazazi CCM mkoa wa Dar es Salaam.
Source: Jambo TV
Mlale unono!
===...
Na hiki ndio huwa kinawafanya wanaangukia pua, puuu.
Uraiani hawakubaliki kabisa maana ndio kwenye uhalisia.
Lakini wao wanakomaa kueneza propaganda njaa kwenye mitandao ya kijamii.
Kura...
Hii imefanyika Feb 23,2023.
International Criminal Tribunal for Rwanda ambayo imemaliza kazi yake, imekabidhi Detention Centre kwa Kamishna Jenerali, kuitumia anavyopenda. Ni Detention Centre ya...
Naomba niweke maslahi yangu ya kumfahamu kijana huyu. Ni mhadhiri wa UDOM nadhani idara ya uchumi na biashara kama sijakosea. Aligombea ubunge mwaka 2020.
Ndiye alisababisha Shabiby kutumia pesa...
People milioni 62 na ushee lakini mmmmhhhh wakulaji ni very small cycle.
Competence wala sio ishu kubwa kwenye hii nchi. Kikubwa zaidi ni kuwa karibu na hiyo cycle nothing more nothing less...
Kwa kifupi bado wapo hai sana tofauti na ilivyotegemewa.
Ila wanachama wao wamechoka sana. Wengine wamekata tamaa kabisa na kuachana na siasa, lakini moyoni bado ni wanachadema.
Ingizo jipya...
Ni kweli kwamba Mbeya Sugu anakubalika sana yeye kama yeye.
Ni ukweli pia CCM ni maarufu kuliko CHADEMA mkoani Mbeya
Na ni ukweli uliowazi katika Kanda ya Nyasa CHADEMA inapendwa zaidi mkoani...
Nipo Mbeya nimeshuhudia kwa macho wananchi wakikacha mikutano ya chadema. Nimejaribu kupeleleza wanasema mikutano imekosa sera na wapo busy kwa mambo mengine. Bado sijajua hasira hizi kwa hiki...
Dr Mollel aliwahi kusema waliomshambulia Tundu Lissu ni WanaCHADEMA
Mbowe anasema aliyekuwa Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA na mbunge David Silinde asipotubu damu za Watu na Ulemavu...
Wadau na Wasalimu na pia Hongereni nyote mliopata TEUZI Leo na Poleni mnaishi kwa kusubiri TEUZI.
Ngoja nirudi kwenye Swali langu.
Kumekuwa kunatokea VIFO Mbalimbali hapa Nchini na Wahusika...
David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora.
Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma.
Utawala Bora ni...
Ikumbukwe Bilionea Freeman Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA.
Ikumbukwe pia Freeman Mbowe kama Mwenyekiti wa CHADEMA alitangaza Operesheni UKUTA.
Iwe kwenye kumbukumbu...