Misiba gani Serikali inawajibika kugharamia?

Misiba gani Serikali inawajibika kugharamia?

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,393
Reaction score
4,086
Wadau na Wasalimu na pia Hongereni nyote mliopata TEUZI Leo na Poleni mnaishi kwa kusubiri TEUZI.

Ngoja nirudi kwenye Swali langu.

Kumekuwa kunatokea VIFO Mbalimbali hapa Nchini na Wahusika ambao ni ndugu na jamaa hugharamia MAZISHI ya Wapendwa Wao wenyewe bila SERIKALI kushiriki.

Kuna kitu nashindwa kuelewa kuna baadhi ya VIFO vikitokea Utasikia SERIKALI itagharamia MAZISHI ya Misiba hiyo.

Swali langu
Je ni VIFO vya Aina gani ndio SERIKALI huwajibika KUGHARAMIA kwa sababu Serikali haigharamii kila Mazishi.

Kwa Mfano Kifo cha Binti AKWILINA na Jana nimesikia Serikali ilisema Itagharamia MAZISHI ya Watoto waliokufa baada ya Mtumbwi wao kutumbukia huko Mto Luiche Kigoma.

millardayo_1677387345152150.jpg
1513218894.jpg
 
Kifo cho chote kinachosababiswa na serikali au uzembe wa serikali msiba unagharimiwa na serikali.

Huu ndiyo ukweli!
 
Wadau na Wasalimu na pia Hongereni nyote mliopata TEUZI Leo na Poleni mnaishi kwa kusubiri TEUZI.Ngoja nirudi kwenye Swali langu.Kumekuwa kunatokea VIFO Mbalimbali hapa Nchini na Wahusika ambao ni ndugu na jamaa hugharamia MAZISHI ya Wapendwa Wao wenyewe bila SERIKALI kushiriki. Kuna kitu nashindwa kuelewa kuna baadhi ya VIFO vikitokea Utasikia SERIKALI itagharamia MAZISHI ya Misiba hiyo.Swali langu
Je ni VIFO vya Aina gani ndio SERIKALI huwajibika KUGHARAMIA kwa sababu Serikali haigharamii kila Mazishi. Kwa Mfano Kifo cha Binti AKWILINA na Jana nimesikia Serikali ilisema Itagharamia MAZISHI ya Watoto waliokufa baada ya Mtumbwi wao kutumbukia huko Mto Luiche Kigoma.View attachment 2530545View attachment 2530547
Akwilina apumzike kwa amani.. Young n Beautiful but gone too soon !
 
Binti alikua mzuri huyu
R.i.p
 
Ni Kama walivyompa ajira majaliwa aliyeokoa watu ziwa Victoria. Wanajaribu kufunika makosa waliyoyafanya. Inashangaza kwelikweli.wanawaziba midomo wananchi ili wasiendelee kuongea.
 
Hata wewe unaweza kutengeneza mazingira ukifa uzikwe na serikali.
 
Wadau na Wasalimu na pia Hongereni nyote mliopata TEUZI Leo na Poleni mnaishi kwa kusubiri TEUZI.Ngoja nirudi kwenye Swali langu.Kumekuwa kunatokea VIFO Mbalimbali hapa Nchini na Wahusika ambao ni ndugu na jamaa hugharamia MAZISHI ya Wapendwa Wao wenyewe bila SERIKALI kushiriki. Kuna kitu nashindwa kuelewa kuna baadhi ya VIFO vikitokea Utasikia SERIKALI itagharamia MAZISHI ya Misiba hiyo.Swali langu
Je ni VIFO vya Aina gani ndio SERIKALI huwajibika KUGHARAMIA kwa sababu Serikali haigharamii kila Mazishi. Kwa Mfano Kifo cha Binti AKWILINA na Jana nimesikia Serikali ilisema Itagharamia MAZISHI ya Watoto waliokufa baada ya Mtumbwi wao kutumbukia huko Mto Luiche Kigoma.View attachment 2530545View attachment 2530547
Ni ile ambayo serikali imesababisha yenyewe directly au indirectly.
 
Back
Top Bottom