Huwa sielewi kwanini CCM ilimkata Lowassa 2015?

Huwa sielewi kwanini CCM ilimkata Lowassa 2015?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Ikumbukwe mzee Lowassa jina lake lilikatwa kwenye kura za Maoni CCM

Akaamua kwenda Chadema ambako alivunja Rekodi ya kupata kura nyingi kwa upande wa Upinzani tangu mfumo wa vyama vingi uanze

Hivi ni kwanini CCM ilimkata Lowassa?!
 
Ugomvi baina ya boys2men....

Lakini baada ya mmoja aliyemfitini mwenzie kuona jahazi linazama ilibidi asalimu amri na kujirudi kwa mwenzie ndipo yule bwana wa tatu akaunganishwa na ule utatu wao ukajiratibu huku wakiweka pembeni tofauto zao ndipo unaona sasa wanachipua.

Tuliwahi sema ule utatu ni hatari sana ukiwa pamoja.... mmoja alifikiri angeweza jinasua katika lile fungate la yamini kumbe loooh!

Bila utatu 2005 ingeenda kwa Salim...

Ni utatu ulionyamazisha yeyote kwa nguvu yeyote aliyekua kikwazo kuelekea 2005.

Walishapatana sasa wanakula mema ya nchi.
 
Ikumbukwe mzee Lowassa jina lake lilikatwa kwenye kura za Maoni CCM

Akaamua kwenda Chadema ambako alivunja Rekodi ya kupata kura nyingi kwa upande wa Upinzani tangu mfumo wa vyama vingi uanze

Hivi ni kwanini CCM ilimkata Lowassa?!
Kama ni jina lake kukatwa ilianzia 1995 alipoonekana ni mchafu Julius Nyerere akaondoa jina lake kwa sababu ilikuwa dhahiri angepigiwa kura angeshinda kwa ushawishi wa pesa na rushwa wala si kwa uwezo kiutendaji. Vile vile hali ikaonekana hivyo hivyo 2015.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom