Freeman Mbowe anaweza kudai Mali zake zilizoporwa baada ya Club Billicanas kuvunjwa na Serikal awamu ya 5

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,934
141,906
Ikumbukwe Bilionea Freeman Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA.

Ikumbukwe pia Freeman Mbowe kama Mwenyekiti wa CHADEMA alitangaza Operesheni UKUTA.

Iwe kwenye kumbukumbu kwamba ile Operesheni ilizuiwa na serikali na CHADEMA walibisha lakini wakadhibitiwa kila kona ya nchi.

Sisi Wadau wa Bills tulipokwenda kula Bata ile week end tukapigwa na butwaa kukuta badala ya Jengo la Club kuna kifusi.

Tuliumizwa sana kwa sababu Mbowe Hotels iliyozaa Club Billicanas ilikuwa ndio Jiji la DSM.

Je, Bilionea Freeman Mbowe atadai mali zake?

Jumaa kareem!
 
Lile lilikuwa la National Housing
(NHC) na kabla ya kubomoa huwa wanakupa notice ya kuondoka, alafu pia alikuwa anadaiwa malimbikizi ya kodi kama yote!
Sasa huyo mtu unaye mwita billionaire ni nani?
 
Attachments

  • IMG-20230201-WA0000.jpg
    IMG-20230201-WA0000.jpg
    20.5 KB · Views: 7
  • JamiiForums1190257988.jpeg
    JamiiForums1190257988.jpeg
    69.9 KB · Views: 8
  • Screenshot_20201102-181842.png
    Screenshot_20201102-181842.png
    332.1 KB · Views: 7
Lile lilikuwa la National Housing
(NHC) na kabla ya kubomoa huwa wanakupa notice ya kuondoka, alafu pia alikuwa anadaiwa malimbikizi ya kodi kama yote!
Sasa huyo mtu unaye mwita billionaire ni nani?
Hata mi nashangaa na wanalijua hilo.
 
Ikumbukwe Bilionea Freeman Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA.

Ikumbukwe pia Freeman Mbowe kama Mwenyekiti wa CHADEMA alitangaza Operesheni UKUTA.

Iwe kwenye kumbukumbu kwamba ile Operesheni ilizuiwa na serikali na CHADEMA walibisha lakini wakadhibitiwa kila kona ya nchi.

Sisi Wadau wa Bills tulipokwenda kula Bata ile week end tukapigwa na butwaa kukuta badala ya Jengo la Club kuna kifusi.

Tuliumizwa sana kwa sababu Mbowe Hotels iliyozaa Club Billicanas ilikuwa ndio Jiji la DSM.

Je, Bilionea Freeman Mbowe atadai mali zake?

Jumaa kareem!
Shahidi wa kwanza ni Mchechu
 
Lile lilikuwa la National Housing
(NHC) na kabla ya kubomoa huwa wanakupa notice ya kuondoka, alafu pia alikuwa anadaiwa malimbikizi ya kodi kama yote!
Sasa huyo mtu unaye mwita billionaire ni nani?
So, sababu ya kubomoa jengo ni 1) jengo lilikuwa mali ya NHC? au 2) Mbowe alikuwa anadaiwa kodi?
Kulikuwa na operation ya kubomoa majengo ya NHC?
Je, mtu anayedaiwa malimbikizo ya kodi, hatua sahihi anayochukiliwa ni kuvuruga biashara yake?
Je, kwa kuvunja lile jengo serikali ili-recover deni alilokuwa anadaiwa Mbowe?
Pia ungeweka bayana kiasi alichokuwa anadaiwa.
 
Lile lilikuwa la National Housing
(NHC) na kabla ya kubomoa huwa wanakupa notice ya kuondoka, alafu pia alikuwa anadaiwa malimbikizi ya kodi kama yote!
Sasa huyo mtu unaye mwita billionaire ni nani?
Acha kupotosha MAGUFULI alikuwa na LAKE JAMBO je kufyeka shamba la Mbowe nalo alipewa NOTICE na Wizara husika?
 
Lile lilikuwa la National Housing
(NHC) na kabla ya kubomoa huwa wanakupa notice ya kuondoka, alafu pia alikuwa anadaiwa malimbikizi ya kodi kama yote!
Sasa huyo mtu unaye mwita billionaire ni nani?
Mtu akidaiwa kodi akashindwa kulipa ndio nyumba inavunjwa? Hivi nyie wapumbavu huwa mnafikiri kwa kutumia makalio yenu au?
 
Back
Top Bottom