Inasikitisha na kutia aibu sana!
Msimamo wa Tundu Lissu na Chadema ni kutowatambua wabunge 19 wa kuteuliwa kutoka ndani ya chama hicho.
Msimamo huo huo pia, ni kutokumtambua mbunge halali wa...
Yaani wanadhani mwendazake kuna siku atarudi, wanaonyesha chuki za wazi kabisa kwa huyu mama, wanajaribu kutuaminisha kwamba magufuli alikua ndo bora kuliko huyu mama!
SSH pamoja na mapungufu...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameahidi kuendelea kuwasomesha Watoto wa aliyekuwa mwandishi wa Habari wa Channel Ten, Abdul -Aziz Ahmed ambaye amefariki Dunia...
Nimesema makala ya Gazeti la mwananchi unayosema CRDB walifungua Tawi chato Kwa kulazimisha na magufuli na mara baada ya kumfariji kwako tawi walilifunga.
Je ni kweli chato Kwa sasa hakuna tawi...
Ndani ya miaka hii miwili watanzania wameshuhudia na kupitia katika kipindi kigumu pengine kuwahi kutokea Tanzania. Ni kipindi ambacho huenda kinyozi wa saluni amefunga ofisi yake si chini ya mara...
Wakuu kule youtube kwenye Channel ya Jambo Tv nimekutana na kisanga cha kutisha, kwanza ukisikiliza unaogopa na kutetemeka.
Ni Askofu Emmaus Mwamakula akiwa amealikwa ku-address mkutano wa...
Kaka Lema hii ngoma unayopiga imefika mpaka Ndani walipofugia misukule (wtz) endelea kuipiga hiyo ngoma kwa ustadi zaidi ili wafuga misukule (viongozi waovu) waamke na kutubu.
Haiwezekani...
Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa.
Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na...
It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.
Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho...
Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato.
Maadhimisho hayo...
Kwa kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.
Katikati ya uhasama usiothamini tena maisha ya watu wengine, Urusi iliingizana G20 mkutanoni na kichekesho cha mwaka:
Kumbe Urusi inapambana...
Rais Samia amesema wakati anakabidhiwa dhamana ya kuongoza nchi, mradi wa bwawa la Nyerere na SGR vilimuumiza kichwa kwa pesa zilizokuwa zinahitajika lakini sasa anazo pesa mpaka za kuifikisha...
Wakati Makamba akiwa waziri wa mazingira katika serikali ya awamu ya tano aliifanya wizara hiyo ambayo huwa sio maarufu sana kuweza kunga'ara na kusikika sana. Aliweza kuisimamia kwa ubunifu...
Mwenyekiti wa UWT Taifa amesema hayo alipokjwa anatoa salaam za UWT kumkaribisha rais wa JMT mama Samia kuzungumza na wanawake na Taifa leo katika uwanja wa Uhuru
CDE Mary Chitanda amesema kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa juhudi inazofanya za kuimarisha michezo nchini akieleza kuwa ndani ya...
Mnyika amesema mzee Masinde pamoja na kutambua kuwa anaumwa ugonjwa huo lakini hakutaka ufahamike kwa familia na ndugu wa karibu ili kutozua taharuki na kuwafanya wakate tamaa.
===========
Akitoa...
Tunasahau kuwa tulikuwa tunachangishana kwenye shida na raha?
Tunasahau mabakuli waliopitisha vijana wa Bavicha na kuingiza pesa kwenye akaunti zao binafsi za M pesa?
Hii ruzuku na asali za CCM...
Tundu Lisu amesema tatizo siyo Watu waliopo NEC bali Mfumo wa Tume ya Uchaguzi NEC ndio mbovu
Hata Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC wakiwa malaika ikumbukwe Watendaji Wakuu kwenye...
Tangu Tarehe 19 Machi alipoapishwa kuwa Rais wa Awamu ya sita kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania [emoji1241] ulikuwa ni kama mwanzo wa matumaini, nguvu mpya, maisha mapya na heshima kwa Taifa la...
Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini umepokea Tsh 75,796,000 (Tsh 75.8m) na fedha zote hizo zimeelekezwa kwenye ujenzi na ukamilishaji wa Maabara za Masomo ya Sayansi (Fizikia, Kemia & Bailojia)...