Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nawaza kwa sauti ya kizalendo, Kweli tunahitaji katiba ya nchi kama taifa hiyo haiepukiki kwa sasa kwa maana mambo mengi yapo hovyo hovyo kabisa. Ila naona kwenye hivi vyama vya siasa bado kuna...
1 Reactions
3 Replies
499 Views
Najua serikali ya Tanzania chini ya Mama Samia ni serikali sikivu. Naitaka basi itoe tamko la kukemea na kuikataa laana hii ambayo inapewa nguvu na serikali ya Marekani (ndoa ya jinsia moja). Itoe...
7 Reactions
68 Replies
4K Views
Kichwa cha habari cha jitosheleza ,wananchi wa makole D center halmashaur ya jiji walihamisha kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali. Mwanzo walitakiwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tanzania yaendelea kuangukia pua world happiness report 2023 baada ya kuwa kundi moja na nchi za Haiti, Afghanstan, Congo, Rwanda, Malawi na Lesotho. Vigezo vilivyotumika ni pamoja na...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Huyu mtu anadharau sana na ana tuona watanzania ni wajinga. Fikiria kipindi kile anatengeze tozo kandamizi kwa raia wasiojiweza alisema kwa dharau tuhamie burundi. Leo hii mfumuko wa bei upo juu...
10 Reactions
42 Replies
2K Views
Ukisikiliza sana hoja za pande mbili zinazokinzana kuhusiana na mchakato wa Katiba Mpya unaweza kuamini kuwa tatizo ni UKAWA au CCM. Naomba kupendekeza kuwa tatizo ambalo tunalishushudia na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Angalia leo hii tunaambiwa taifa letu linakusanya tozo kodi na ushuru kibao. Zaidi ya tril 1.3. Wananchi hawana hakika hata ya kula ugali dagaa. Wananchi wanaishi maisha duni. Ufisadi...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
HAPA KAZI TU NA KAZI IENDELEE HATUTAKI KUFA TUTAMPATAJE!? MCHEZO TUNAUPENDA LAANA ZA KUJIAJIRI WAPO 2 KAMA MILIONI 677... TUTAMPATAJE TUMUANDAE (Katiba Mpya Inaitwaje kwa KABILA LAKO MAANA LABDA...
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Taifa litakuaje kiuchumi wakati vijana wa kiume wamekazana kutafuta dawa zakunenepesha uume na kuongeza hamu ya ngono badala yakuhangaika kutafuta changamoto mpya kupata fursa za kiuchumi zenye...
0 Reactions
3 Replies
293 Views
Kuanzia sasa Serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe kwa kupimwa uwezo wao kwa kufanya usaili. Kuangalia ufaulu pekee wa...
13 Reactions
190 Replies
16K Views
Wakuu, Nahisi Jeshi letu la Polisi limenajisiwa. Bora IGP Sirro ajiuzulu kama ameshindwa kuwatetea na kuwalinda Askari wake. Namshauri Sirro awatetea Askari wake Wanyonge kuliko kujipendekeza kwa...
13 Reactions
60 Replies
7K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wazazi na Walezi kuwalea Watoto na Vijana kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini...
11 Reactions
113 Replies
6K Views
Hii hapa orodha ya nchi zenye gharama ndogo kabisa za nishati ya umeme katika Afrika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika kusherehekea miaka 2 ya Rais Samia madarakani Msama amerejesha Tamasha la Nyimbo za Injili lijulikanalo kama Tamasha la Pasaka Msama ameseka kwa Kipindi cha miaka 7 hapakuwepo Tamasha la...
0 Reactions
7 Replies
957 Views
Japo Hayati Magufuli aliwahi kuniudhi kwenye maeneo fulani, lakini leo nimefurahi kwa kuwa Tanzania imefanikiwa kuwa a Donor Country. Haya yalikuwa ni maono yake kuiwezesha nchi yetu kuwa msaada...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Baadhi ya Vijana wa BBT wakiwa katika kituo atamizi cha Bihawana jijini Dodoma, wakiendelea na mafunzo ya uandaaji na uzalishaji wa miche! Gharama yote ya mafunzo ikiwa ni pamoja na chakula na...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
MKUU WA WILAYA (DC) NA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI WANENA KUHUSU UMUHIMU WA MFUKO WA JIMBO Jana, Ijumaa, 24.3.2023, Wakuu wa Shule za Sekondari za Musoma Vijjini, na Bodi zao, walianza kuchukua...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Watanzania wamekaa kiwizi wizi haijalishi ni mapasta, Madre, maaskofu au waamini. Ukitaka kujua Hilo mlemle kanisani dondosha elfu kumi halafu unifanye hujaiona nakwambia hata yule aliyekuwa...
2 Reactions
6 Replies
889 Views
Watumishi wapya wa Mamlaka ya mapato nchini waanza mafunzo elekezi. Mwaka 2022, TRA iliajiri watumishi wapya zaidi ya 1400. Hadi sasa, Serikali ya awamu ya 6 imetoa vibali vya ajira mpya zaidi...
1 Reactions
1 Replies
505 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…