Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Kuna habari picha ambayo inasambaa mitandaoni (hususani Whatsapp) yenye maneno kuwa.. "Serikali imewaomba wakazi wa Kagera walioathirika na tetemeko kujijengea wenyewe kwani michango...
4 Reactions
1K Replies
128K Views
Ndugu zangu watanzania, Vijana Mitaani wanazitafuta kadi za CCM Kama madini ya Dhahabu,wanapita na kuwatafuta makatibu Tawi wa CCM kwa bidii kubwa Sana ili waweze kupewa kadi na kujiunga na CCM...
9 Reactions
63 Replies
5K Views
Kwenye mambo ya kihalifu nchi nyingi zimelipa Jeshi la polisi wajibu wa kushughulika na uchunguzi pale uhalifu unapotokea. Kwa Tanzania Polisi kupitia kwa DCI ndiyo wamepewa kazi ya kupeleleza...
5 Reactions
72 Replies
2K Views
Yuko wapi Kangi Lugola? Aliwanyoosha Polisi kwa uonevu. IGP Sirro akaomba msaada Ikulu ili aondolewe uwaziri. Maarufu kama Mabendera ya taifa, huyu jamaa alistahili kuwa waziri wa mambo ya ndani.
9 Reactions
32 Replies
4K Views
https://www.yahoo.com/news/tanzania-pilots-failed-heed-warnings-194627197.html
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimesikitika na habari hii niliyoisoma katika Gazeti la Raia Mwema. Kwamba hizi juhudi afanyazo Rais Samia za maridhiano yanayofanya kunawezekana kufanyika siasa za kiungwana na kistarabu zaidi ya...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Kwa lengo gani? Je kwanini wahusika warudishiwe haki yao? Ilikuwa uporaji? === Nape akiwa Clouds FM amesema "Rais Samia Suluhu Hassan katika miaka hii 2 ya uongozi amefanya kazi ya kuwafuta watu...
15 Reactions
250 Replies
15K Views
Wakati akihojiwa na Chief Odemba pale Star tv Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu alisema Rais Samia ameshughulikia mambo mepesi lakini Mazito yanayohitaji kubadili sheria bado hajayagusa...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
MBUNGE DKT. RITTA KABATI AYAPA NGUVU MASHINDANO YA SOKA YA UVCCM IRINGA, AAHIDI KUANZISHA "MAMA SAMIA CUP" Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa (CCM), Mhe. Dkt. Ritta Kabati ameahidi kuanzisha...
0 Reactions
3 Replies
767 Views
Mama Janeth Magufuli ametunukiwa tuzo DRC, tuzo ambayo hutolewa kwa wake wa viongozi wakuu na watu maarufu duniani. Tuzo hiyo ijulikanayo kama M. T. Kasalu aliyotunukiwa ni katika kutambua...
21 Reactions
53 Replies
5K Views
" Yeyote yule anayefikiri kuwa Tanzania itapata katiba mpya bila kwanza kuwa na Tumehuru ya uchaguzi hana ubongo" Zitto
4 Reactions
138 Replies
8K Views
Hayati John Pombe katika utawala wake alihakikisha kuwa mabaki ya viongozi wote alio waacha Rais mtaafu Jakaya wote ana wafutilia mbali kwenye utawala wake. Na hili alifanya huku akiamini kuwa...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
MHE. JUDITH KAPINGA - "WIZARA YA NISHATI IWAJENGEE UWEZO WAKANDARASI REA" Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Judith Salvio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nawaza kwa sauti ya kizalendo, Kweli tunahitaji katiba ya nchi kama taifa hiyo haiepukiki kwa sasa kwa maana mambo mengi yapo hovyo hovyo kabisa. Ila naona kwenye hivi vyama vya siasa bado kuna...
1 Reactions
3 Replies
499 Views
Najua serikali ya Tanzania chini ya Mama Samia ni serikali sikivu. Naitaka basi itoe tamko la kukemea na kuikataa laana hii ambayo inapewa nguvu na serikali ya Marekani (ndoa ya jinsia moja). Itoe...
7 Reactions
68 Replies
4K Views
Kichwa cha habari cha jitosheleza ,wananchi wa makole D center halmashaur ya jiji walihamisha kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali. Mwanzo walitakiwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tanzania yaendelea kuangukia pua world happiness report 2023 baada ya kuwa kundi moja na nchi za Haiti, Afghanstan, Congo, Rwanda, Malawi na Lesotho. Vigezo vilivyotumika ni pamoja na...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Huyu mtu anadharau sana na ana tuona watanzania ni wajinga. Fikiria kipindi kile anatengeze tozo kandamizi kwa raia wasiojiweza alisema kwa dharau tuhamie burundi. Leo hii mfumuko wa bei upo juu...
10 Reactions
42 Replies
2K Views
Ukisikiliza sana hoja za pande mbili zinazokinzana kuhusiana na mchakato wa Katiba Mpya unaweza kuamini kuwa tatizo ni UKAWA au CCM. Naomba kupendekeza kuwa tatizo ambalo tunalishushudia na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Angalia leo hii tunaambiwa taifa letu linakusanya tozo kodi na ushuru kibao. Zaidi ya tril 1.3. Wananchi hawana hakika hata ya kula ugali dagaa. Wananchi wanaishi maisha duni. Ufisadi...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…