Kila zama na kitabu chake

Kila zama na kitabu chake

Mukua

Senior Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
157
Reaction score
203
Hayati John Pombe katika utawala wake alihakikisha kuwa mabaki ya viongozi wote alio waacha Rais mtaafu Jakaya wote ana wafutilia mbali kwenye utawala wake.

Na hili alifanya huku akiamini kuwa ile ilikuwa Safu ya wapiga dili, mbali na Hilo alitumia mbinu nyingi kuwaaminisha wa tz kuwa hao watangulizi wake kwa muda wote waliokaa madarakani hawafanya ipasavyo na ndo maana alifika Mahali akasema Kuna watu wamesha staafu lakini bado Wana washwa washwa , hii ilikuwa kauli mbaya kupatwa kunenwa na kiongozi wa nchi, na huwenda ili sababishwa na ulevi wa madaraka tu.

Sasa matokeo ya mbegu aliyo ipanda ndio hii tunayo iona kwa wanaoshindwa hata kujizuia kwa jificha tabia zao za chuki.

Alianza Gwajima na genge lake kumpinga Rais kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa hatari Corona Tena unaosumbua dunia, akaja Polepole naye akaenda mbali na kuona kuwa Rais Samia hajui uongozi ,hivyo akaanzisha kipindi Cha shule ya uongozi, huyu kijana hafai na ni simu ya hatari kwa Taifa letu.

La ajabu ameibuka kiongozi mkuu Tena wa muhimili unaoheshimika kabisa, yeye ameshindwa kujizuia na kuropoka Mambo ambayo hayafai kusemwa na kiongozi wa aina yake.

Hawa wako wengi , Jambo la msingi ni Rais kufutilia mbali hiki kizazi cha Hayati John, NI watu hatari kwa oungozi wake, Wala wahawata muacha afanye kazi kwa amani.
Kila Zama na kitabu chake.

Rais wetu mpendwa andaa kitabu Chako tukisome, Wala usiwaonee haya hao wasiotaka kujistahi . TIMUA WOTE ILI UBAKI NA AMANI. ( Tumia vyombo vyako uwabaini wasio endana na Kasi yako.).
 
Je, unataka kusema makombo ni haram? Basi mama avunje baraza lote na asiwarudishe wote wa JK na JPM aweke sura mpya tutamwelewa zaidi
 
Je unataka kusema makombo ni haram? Basi mama avunje baraza lote na asiwarudishe wote wa JK na JPM aweke sura mpya tutamwelewa zaidi
Soma hapo mwishoni, aangalie wasio endana na Kasi yake ,atimue.
 
Hayati John Pombe katika utawala wake alihakikisha kuwa mabaki ya viongozi wote alio waacha Rais mtaafu Jakaya wote ana wafutilia mbali kwenye utawala wake.
Na hili alifanya huku akiamini kuwa ile ilikuwa Safu ya wapiga dili, mbali na Hilo alitumia mbinu nyingi kuwaaminisha wa tz kuwa hao watangulizi wake kwa muda wote walio kaa madarakani hawafanya ipasavyo na ndo maana alifika Mahali akasema Kuna watu wamesha staafu lakini bado Wana washwa washwa , hii ilikuwa kauli mbaya kupatwa kunenwa na kiongozi wa nchi, na huwenda ili sababishwa na ulevi wa madaraka tu.
Sasa matokeo ya mbegu aliyo ipanda ndio hii tunayo iona kwa wanaoshindwa hata kujizuia kwa jificha tabia zao za chuki .
Alianza Gwajima na genge lake kumpinga Rais kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa hatari Corona Tena unao sumbua dunia, akaja Polepole naye akaenda mbali na kuona kuwa Rais Samia hajui uongozi ,hivyo akaanzisha kipindi Cha shule ya uongozi, huyu kijana hafai na ni simu ya hatari kwa Taifa letu.
La ajabu ameibuka kiongozi mkuu Tena wa muhimili unao heshimika kabisa, yeye ameshindwa kujizuia na kuropoka Mambo ambayo hayafai kusemwa na kiongozi wa aina yake.
Hawa wako wengi , Jambo la msingi ni Rais kufutilia mbali hiki kizazi cha Hayati John, NI watu hatari kwa oungozi wake, Wala wahawata muacha afanye kazi kwa amani.
Kila Zama na kitabu chake.
Rais wetu mpendwa andaa kitabu Chako tukisome, Wala usiwaonee haya hao wasiotaka kujistahi . TIMUA WOTE ILI UBAKI NA AMANI. ( Tumia vyombo vyako uwabaini wasio endana na Kasi yako.).
Kuhusu Magufuli kusema "kuna watu wamestaafu lakini bado wana washwa washwa,,, "

hata wakati wa Mzee Mwinyi, mwalimu Nyerere aliambiwa "anaongoza nchi kutokea Butihama!"

Wakati wa Magufuli tulisikia pia ni "mtoto pendwa" wa Mkapa.

Alikadhalika hata wakati huu tunasikia kuwa Samia ni kibaraka wa Jakaya, kwamba Kikwete anaongoza nchi kwa remote control akitokea msoga yaani Kocha mchezaji na maneno mengi mengine!

Hivyo kila zama, kweli na kitabu chake na maneno yake pia!

Aluta continue!
 
Ndugai anaharibu sanaa maeneo mengi, lkn katika hili cjaona alipokosea labda kosa lake ni kuomba msamaha ,tatizo mmeshazoea kuimba sifa kila kukicha mkisahau ya kwamba nchi inapotea,hatuna vijana wenye hekima na wenye kuona mbali na kama wapo basi ni wachache sanaa,binafsi si dhihaki issue za kukopa kwasabb hazijaanza sasa,na wala si shabikii mikopo ati kwa sabb hakuna nchi isiyokopa ,ati kwa sabb toka nchi imepata uhuru ni mikopo kwenda mbele hapana,mikopo ni kifungoo kizuri xna kama tunaweza kuendesha nchi hii bila ya mikopo ni jambo la kheri sana,nchi hii ni tajiri xnaa hatukuhitaji kuendelea kukopa kopa ,tatizo kubwa linaloangamiza akili ya mtanzania ni njaa,
 
Ameandika barua ya kujiuzulu aende ,zake lazima kiongozi mkubwa Kama yeye Kama aliona Kuna Jambo haliendi sawa ili mpasa kumshauri Rais kimya kimya na Wala si Kama alivyo fanya.
Alisumbuliwa na ulevi wa madaraka.
 
Anajitahidi ila anapaswa kuwa makini na Chawa wa Mama na Genge S, hawa watamwangusha
Ni kweli Kila analotenda linaonekana kwenye dhamiira yake. Hasa upendo alionao kwa anao waongoza.
 
Magu hakutoa kila waziri ila aliangalia uwezo.

Kuna ambao walikubali kubadilika kulingana na muongozo wa utawala, kuna ambao hawakutaka mabadiliko yoyote ambao walitaka wabaki na mfumo wa JK wa business as usual, hawa ndio waliondilewa kabisa. Na sasa wamerudi na nyie mnayaona.

Wapo mawaziru ambao JPM alienda nao kama Lukuvi, Ummy mwalim, Jenista Mhagama, George Simbachawene, Mkuchika, Ashatu Kijaji, Marehemu Maiga.
 
Tupitie orodha hapa chini kwa utwala wa JK na JPM then kwa uchache utaweza kuona kuwa the mtawala mpya huwa anacheza na watu karibu wengi waliokuwa na mtangulizi wake. Na katika hili utaona watu waliokuwa na jr post enzi za JK, hatu hao-hao wakapata very sr post kwa JPM.

JPMJK
SSH (VP)Waziri OMR-Muungano
Kasim MM (PM)N/W OWM-Timisemi
Hussein M (W then rose to PofZ)Hussein M (W)
George Mkuchika (W)George Mkuchika (W)
Philip Mpango (W) PhilipMpango (Katibu wa Tume Mipango)
Ng'wigulu (W)Ng'wigulu (N/W)
Jenister M (W)Jenister (N/W)
Ummy M (W)Ummy (N/W)
Angela K (W)Angela (N/W)
Tizeba C (W)Tizeba (N/W)
Kitwanga C (W)Kitwanga (N/W)
Mwijage C (W)Mwijage C (N/W)

Hii ni orodha kwa uchache, ukiangalia watu waliokuwa mawaziri wa JK na M-N/W wa JK wengi wao walipata promotion kuwa full cabinet ministers wakati wa JPM.
JPM alikuwa mwana-CCM na JK mwana-CCM kama alivyo SSH.

Chances za kuchukua kwenye pool ya wana-CCM iko palepale. Hivyo dhana ya JPM kuwatosa wateule wa JK haina mashiko, nimeona wateule 3 wa JK wakitoka kwenye nafasi za kawaida na kuwa kwenye nafasi 3 za juu ambapo ili kuwaona lazima kupata PSU clearance.

CCM, ni ile-ile na nafasi wanabadilishana wao kwa wao in most cases, kikubwa, mamlaka ya kuteua inalenga anaeteuliwa atakuwa ana-serve kwa utiifu kiasi gani kwa bosi wake mpya.
 
Back
Top Bottom