Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh. Rais naisi Kuna watu wanakudanganya, benki zote za Tanzania kwa sasa hazitoi mkopo kwa mtu yoyote paspo kufanyika search kupitia kitu kinaitwa credit bureau, ambapo benki inayotaka kukopesha...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni kweli uliowazi kuwa mataifa makubwa haya matatu ya Marekani ,Urusi na China yanakimbizana na kupishana Afrika kijaribu kuongeza ushawishi wao kisiasa na kuongeza ushirikiano pamoja na kukuza...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari wana bodi Kwa siku kadhaa sasa kumekua na hali ya taharuki miongoni mwa watanzania hasa baada ya MCC kisitisha msaada wa zaidi ya trillion moja za kitanzania kwa serikali kutokana na kile...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
Serikali Yasema Kusitishwa kwa Baadhi ya Misaada ya Wahisani Hakujaathiri Sekta ya Nishati. Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo Bungeni tarehe 16 May,2016. Waziri wa Nishati na...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Mradi wa MCC ulikuwa uwasadie wanavijiji zaidi ya lk 3kupata Umeme,na maji safi ya kunywa na salama,lkn tukaukataa mradi wenyewe kwa kiburi, maajabu ya musa,tumekuja kuomba tujengewe msikiti,na...
1 Reactions
2 Replies
776 Views
Dar es Salaam. Bodi ya Shirika la Changamoto za Millenia (MCC), imefunga rasmi shughuli zake jijini Dar es Salaam Septemba 29, ikiwa ni miezi sita tangu lilipositisha msaada wa fedha kwa Tanzania...
2 Reactions
261 Replies
18K Views
Wewe soma na kama utaki pita hivi! Mke wa Rais Magufuli, Mwalimu wa Darasa la nne shule ya Msingi mbuyuni, tarehe 24/03/2023 alifanikiwa kutunukiwa tuzo ya heshima ya kimataifa Toledo la...
17 Reactions
48 Replies
4K Views
Naungana na Pandre Kitima,Kwa hulka za Watanzania no way Katiba Mpya itaondoa upigaji au udnganyifu maana watu wale wale ndio watatakiwa kusimamia Sheria.. SoMo la uzalendo na Maadili liwe...
2 Reactions
2 Replies
670 Views
Katika mapokezi ya kumpokea makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris nimeona watoto wawili(2) wa kumpokea kwa maua uwanja wa ndege, lakini nasikitika kusema itifaki haikuzingatia uwakilisho mzuri...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya! Rais Samia Suluhu amerudisha sana heshima ya Tanzania kwenye diplomasia na sasa imerejea mahali pake, Serikali ya awamu ya tano ilififisha mahusiano kati ya...
8 Reactions
77 Replies
6K Views
Sijawahi kusikia Rais Samia akioneshwa kukasirishwa sana, na kutumia maneno makali kama alivyotoa wakati akiongelea taarifa ya CAG. Kuna wakati ukiwa muungwana unaamini kuwa watu wote ni...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Naona nchi imetupiwa fupa tena,kinyang'anyiro kwa watumishi wasio waaminifu ndani ya serikali, Bila nidhamu ya kazi na matumizi sahihi ya mapato ya ndani, tutasaidwa daima na hakutakuwa na...
0 Reactions
0 Replies
327 Views
Kufuatia maandamano ya baadhi ya wananchi wa Kata ya Msigani, Jimbo la Kibamba Wilayani ya Ubungo jijini Dar es Salaam katika eneo la Mbezi Kibanda cha Mkaa, wakiishinikiza serikali kuwajengea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ipo hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika ziara zake anazofanya hivi karibuni, alifika Mkoani Simiyu na katika moja ya mikutano yake na Watumishi wa Umma kuna mambo mazito yalizungumzwa...
12 Reactions
31 Replies
4K Views
Mpaka lini sisi tutaendelea kuitwa masikini? Huu umasikini tunaoitwa nao kila leo, sababu yake ni ipi kama sio hii ya wakubwa kuiba mapesa yetu? Ni kweli kabisa sisi ni masikini au ni upumbavu...
2 Reactions
16 Replies
787 Views
Nimeitazama hii picha nikapata maana tofauti. Naomba mwenye uelewa saana na habari picha watulekeze nini ujumbe upo ndani.
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Mfuko huu ukiacha hasara wanayoingiza Serikalini pia wametajwa na TAKUKURU kwenye ubadhirifu. Aidha Huu mfuko.unaongozwa na yule anayejiita Kamisama WA sensa na Spika Mstaafu Anna Makinda...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya watu wenye bia mbaya na Serikali ya Rais Samia Suluhu walikua makini kusikia suala la ushoga lakini haijawa hivyo Rais Samia Suluhu hawezi kuruhusu huo upuuzi katika nchi yetu...
1 Reactions
3 Replies
597 Views
Huyu ni Mwenyekiti wa Hkamshauri ya Wilaya ya Iramba - Innocent Msengi. Huyu kama bosi wake Mwigulu alirudia shule ya msingi zaidi ya mara tatu - awali akiitwa Masaganya Zengo - then likaja la...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya...
27 Reactions
156 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…