Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nilitegemea baada ya kuingia kwenye Maridhiano viongozi wakuu wa CCM na Chadema wangekuwa wanatoa kauli za kujenga siyo kubomoa. Lakini ni viongozi wa CCM Ndio wamekuwa watulivu pamoja na Mbowe...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Hatuyafurahii matendo ya kiharamia yaliyotendwa na Ole Sabaya lakini tuwe na kiasi tunapomshambulia Tusisahau Kuwa Mbowe alitiwa Hatiani na mahakama na hajahukumiwa, ni kama ule mnyororo...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Mawazo ya KENGE, Kwanza mimi KENGE sio mdau sana wa Mambo ya siasa lakini hii sheria ya kunyongwa inanichanganyaga sana Akili, Tumeimba sana kwenye URAIA/CIVICS zile 3 pillars of government...
7 Reactions
66 Replies
4K Views
Wakazi wa Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazotokana na uwepo wa Ziwa Victoria unaouzunguka wilaya hiyo kwa asilimia 77. Akizundua tawi la Benki ya CRDB...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya Kukabidhiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan hatimaye leo Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali zitawasilishwa Rasmi Bungeni ambapo kwa mujibu wa taratibu ripoti nzima sasa...
1 Reactions
12 Replies
933 Views
Mwenyekiti wa ngome ya Vijana chama cha ACT- Wazalendo amemtaka Rais ateue Waziri Mkuu mwingine baada ya uamuzi wa mahakama kutolewa la kutengua ushindi wa kupita bila kupingwa. Nondo amesisitiza...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 2 leo Aprili 5, 2023. RIDHIWANI: SERIKALI HAINA BAJETI YA KUENDELEZA TAASISI ZA WENZA WA VIONGOZI Mbunge wa Kilombero, Abubakar...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wamuulize Rais Kagame alivyofanya kuunganisha waathirika wa mauaji ya kimbali. Kuna watu walikosa viungo vyao, kuna watu walipata vilema vya maisha kuna watu walikosa ndugu zao. Mahakama...
22 Reactions
152 Replies
7K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amewasilisha Hotuba ya Ofisi yake kwa mwaka 2023/24 Bungeni jijini Dodoma leo April 5, 2023, ambapo ameeleza kuwa Sekta za...
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria pamoja na mambo mengine mengi imeshauri ujenzi wa kiwanda cha nyaraka za Serikali ukamilike kwa wakati, Serikali itoe waraka maalum kuelekeza...
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Wakuu Sina haja ya kuelezea tafauti ya sifa za kiongozi Bora na msimamizi Bora /imara /shupavu. Ila ukiangalia vizuri utaona hawa watu walikiwa na sifa zilizowatofautisha. Na kila moja zikiwa na...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Ni kweli ukatili upo mashuleni, wanafunzi wanapewa adhabu zisioendana na umri wao. Nilichokuona ni kwamba walimu wengi wana psychological disoder ambayo inatokana na changamoto za kiutumishi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Spika wa Bunge Dr Tulia ametoa ufafanuzi na Elimu ya namna Ripoti ya CAG inavyoshughulikiwa bungeni 1. Ripoti ya CAG inakuwa public mara itakapowasilishwa bungeni kwa mujibu wa sheria 2...
14 Reactions
96 Replies
8K Views
Hii nchi sasa haina tofauti na geto. Kila mahali imejaa mabango. Mara mama katoa ruzuku ya mbolea wakati vyakula vipo juu, mara nani kama mama, mara kila kijiji kitapata umeme. Kiukweli imekuwa...
16 Reactions
49 Replies
3K Views
Kwa uzoefu wangu kwa awamu nilizoshuhudia matukio ya utekaji na matukio mengine karibu awamu zote huwepo tofauti kubwa huwa namna yanavyotekelezwa na kuripotiwa. Nimekuwa napitia comments nyingi...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium. Alikuja kwa mikwara mingi sana...
29 Reactions
368 Replies
27K Views
Wakuu habari, Mh.Nape wakati wa awamu ya Tano alishiriki kufungia bunge kuonyeshwa live ,huku akijua bunge ni chombo Cha wananchi Wana haki ya kusikiliza maoni ya wawakilishi wao na Lengo kuu...
1 Reactions
9 Replies
968 Views
Mbunge wa jimbo la Makete bwana Festo Sanga amewataka viongozi wa Chadema kuacha unafiki wa kuhubiri maridhiano na CCM huku kwenye vyama vyao wakiwa wameficha mapanga. Bwana Sanga ametolea mfano...
3 Reactions
90 Replies
4K Views
KWANZA HIVI NDIO VYEO VYAKE 1) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 2) Mkuu wa nchi na kiongozi namba moja kwa pande zote mbili za Muungano. 3) Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na...
98 Reactions
309 Replies
16K Views
Hawa HESLB wana tabia ya kuzidisha makato ya marejesho ya mkopo bidi unapomaliza marejesho ya mkopo kwa kuendelea kukata mishahara yetu kila mwezi, hata kwa zaidi ya miezi 3 hadi 6 inategemea ya...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…