Nchi ya mabango yasiyoendana na ukweli

Nchi ya mabango yasiyoendana na ukweli

sheiza

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
7,634
Reaction score
11,696
Hii nchi sasa haina tofauti na geto. Kila mahali imejaa mabango. Mara mama katoa ruzuku ya mbolea wakati vyakula vipo juu, mara nani kama mama, mara kila kijiji kitapata umeme.

Kiukweli imekuwa uchafu hadi inakera. Maeneo ambayo ilitakiwa yawekwe mabango kuingizia hela halmashauri wameweka mabango ya samia.

Wao wanadhani mama anauzika kwa mabango, la hasha. Huko tulishatoka, kwa sababu kinachouza kwa sasa ni utendaji kazi na vitu vinavyoonekana. Ukisema unaleta maji basi iwe hivyo kwamba baada ya wewe kuingia nimepata maji wakati kabla sikuwa nayo, unasema umejenga zahanati basi niione sio unasema umejenga wakati ilikuwepo kabla yako.

Sio we umeingia kisha maji ya mgao, umeme wa mgao, chakula bei juu, huduma za afya hovyo.

Vitu vingi vinavyosemwa kwenye mabango haviakisi uhalisia, sasa wanamdanganya nani? mpita njia au?

Kwa sasa watanzania walishatambua kila kitu. Ni ngumu kuwadanganya kwa mabango. Tulishatoka huko. Waondoe uchafu miji ibaki misafi. Kama kuna kazi zinafanyika tutaona wenyewe. Maana zitagusa maisha yetu moja kwa moja.
 
Hayo mabango yamekuwa kero.
 
Bahati Nzuri SSH Siyo Anayepanga Dunia Iende Vipi?
 
Hii nchi haijawahi kuchafuka kwa mabango kama kipindi cha hayawani yule! Come to your common sense dude! Hadi media houses zote zilielekezwa kwa Shetani yule!

May the almighty God bless our Hon. President. Long live President Samia.
 
Nakumbuka kipindi cha dhalimu viwanda vya zamani vilikuwa vinapakwa rangi, kisha anaenda kuzindua eti ni Tanzania ya viwanda! Ikafikia hadi tunaambiwa utawala wa dhalimu umejenga viwanda 4,000+! Njoo kwenye upande wa ajira sasa ukweli ukawa unakataa.

Mzatokea yake ikabidi dhalimu apore uchaguzi ili kukwepa kipimo halisi cha wananchi kuhusu utawala wake.
 
Hii nchi haijawahi kuchafuka kwa mabango kama kipindi cha hayawani yule! Come to your common sense dude! Hadi media houses zote zilielekezwa kwa Shetani yule!

May the almighty God bless our Hon. President. Long live President Samia.
Sasa tuseme nchi ilichafuka pia kwa yule. Ila yule na huyu wako sawa. Huyu kafanya nini?

Hata watu wanaefanya nae kazi wanaona aibu kusimama mbele ya jamii na kuieleza.

Unatuambia kwenye mabango umetoa ruzuku ya mbolea ya bilioni 150 wakati unga tunanunua kilo 2000. Tukiuliza tunajibiwa serikali haimuingilii mkulima. Sasa nini maana ya ruzuku kama kweli mmetoa.

Unatuambia umetusogezea maji wakati kila siku maji ni mgao toka uingie. Kaeni chini mjipange. Acheni upuuzi ili mlete maendeleo.
 
Nimegundua Lisu ni mpinzani wa kweli na Dk slaa wengine mbwa tu

USSR
Kwamba mbwa unawajua wewe na mashoga wenzio mlioachwa baada ya makamu wa rais wa mashoga kuingia ikulu na kuwaacha mkibwabwaja jf.
 
Hii nchi sasa haina tofauti na geto. Kila mahali imejaa mabango. Mara mama katoa ruzuku ya mbolea wakati vyakula vipo juu, mara nani kama mama, mara kila kijiji kitapata umeme.

Kiukweli imekuwa uchafu hadi inakera. Maeneo ambayo ilitakiwa yawekwe mabango kuingizia hela halmashauri wameweka mabango ya samia.

Wao wanadhani mama anauzika kwa mabango, la hasha. Huko tulishatoka, kwa sababu kinachouza kwa sasa ni utendaji kazi na vitu vinavyoonekana. Ukisema unaleta maji basi iwe hivyo kwamba baada ya wewe kuingia nimepata maji wakati kabla sikuwa nayo, unasema umejenga zahanati basi niione sio unasema umejenga wakati ilikuwepo kabla yako.

Sio we umeingia kisha maji ya mgao, umeme wa mgao, chakula bei juu, huduma za afya hovyo.

Vitu vingi vinavyosemwa kwenye mabango haviakisi uhalisia, sasa wanamdanganya nani? mpita njia au?

Kwa sasa watanzania walishatambua kila kitu. Ni ngumu kuwadanganya kwa mabango. Tulishatoka huko. Waondoe uchafu miji ibaki misafi. Kama kuna kazi zinafanyika tutaona wenyewe. Maana zitagusa maisha yetu moja kwa moja.
Chawa unakuta kuna fungu kabisa lets 10b kwa ajili ya huo ujinga na utakuta labda ni nape au makamba ndo wamegharamikia
 
Wao wanadhani mama anauzika kwa mabango, la hasha. Huko tulishatoka, kwa sababu kinachouza kwa sasa ni utendaji kazi na vitu vinavyoonekana. Ukisema unaleta maji basi iwe hivyo kwamba baada ya wewe kuingia nimepata maji wakati kabla sikuwa nayo, unasema umejenga zahanati basi niione sio unasema umejenga wakati ilikuwepo kabla yako.
Kitu chema hujiuza hata pasipo kutangazwa kulikopitiliza.
 
Hii nchi sasa haina tofauti na geto. Kila mahali imejaa mabango. Mara mama katoa ruzuku ya mbolea wakati vyakula vipo juu, mara nani kama mama, mara kila kijiji kitapata umeme.

Kiukweli imekuwa uchafu hadi inakera. Maeneo ambayo ilitakiwa yawekwe mabango kuingizia hela halmashauri wameweka mabango ya samia.

Wao wanadhani mama anauzika kwa mabango, la hasha. Huko tulishatoka, kwa sababu kinachouza kwa sasa ni utendaji kazi na vitu vinavyoonekana. Ukisema unaleta maji basi iwe hivyo kwamba baada ya wewe kuingia nimepata maji wakati kabla sikuwa nayo, unasema umejenga zahanati basi niione sio unasema umejenga wakati ilikuwepo kabla yako.

Sio we umeingia kisha maji ya mgao, umeme wa mgao, chakula bei juu, huduma za afya hovyo.

Vitu vingi vinavyosemwa kwenye mabango haviakisi uhalisia, sasa wanamdanganya nani? mpita njia au?

Kwa sasa watanzania walishatambua kila kitu. Ni ngumu kuwadanganya kwa mabango. Tulishatoka huko. Waondoe uchafu miji ibaki misafi. Kama kuna kazi zinafanyika tutaona wenyewe. Maana zitagusa maisha yetu moja kwa moja.
Duh...!. Yaani Tanzania tuna watu wa ajabu sana!. Yaani pamoja na mema yote, makubwa mazuri yote ya huyu Mama anayoyafanya, bado kuna mtu unakereka na mabango tuu ya Mama?!.
Kiukweli mfumo dume...
Mtu akiishaamini Mwanamke hawezi, hata akiweza kila kitu, wale wa kukereka wataendelea kukereka tuu!, na wakikosa kila cha kukosoa wataibuka wanakereka na Hijab Nyekundu!.
P
 
Hii nchi sasa haina tofauti na geto. Kila mahali imejaa mabango. Mara mama katoa ruzuku ya mbolea wakati vyakula vipo juu, mara nani kama mama, mara kila kijiji kitapata umeme.

Kiukweli imekuwa uchafu hadi inakera. Maeneo ambayo ilitakiwa yawekwe mabango kuingizia hela halmashauri wameweka mabango ya samia.

Wao wanadhani mama anauzika kwa mabango, la hasha. Huko tulishatoka, kwa sababu kinachouza kwa sasa ni utendaji kazi na vitu vinavyoonekana. Ukisema unaleta maji basi iwe hivyo kwamba baada ya wewe kuingia nimepata maji wakati kabla sikuwa nayo, unasema umejenga zahanati basi niione sio unasema umejenga wakati ilikuwepo kabla yako.

Sio we umeingia kisha maji ya mgao, umeme wa mgao, chakula bei juu, huduma za afya hovyo.

Vitu vingi vinavyosemwa kwenye mabango haviakisi uhalisia, sasa wanamdanganya nani? mpita njia au?

Kwa sasa watanzania walishatambua kila kitu. Ni ngumu kuwadanganya kwa mabango. Tulishatoka huko. Waondoe uchafu miji ibaki misafi. Kama kuna kazi zinafanyika tutaona wenyewe. Maana zitagusa maisha yetu moja kwa moja.
Pole Sukuma gang. Jua kuwa Sukuma gang hamrudi na roho yako itulie. Yaani umeshasahau kipindi cha Jiwe ilivyokuwa.
 
Mbona mabango ya Ibilisi ulikuwa ukiyakatia viuno humu, kulikoni ya Samia?
 
Hii nchi haijawahi kuchafuka kwa mabango kama kipindi cha hayawani yule! Come to your common sense dude! Hadi media houses zote zilielekezwa kwa Shetani yule!

May the almighty God bless our Hon. President. Long live President Samia.
Kabisa mkuu, jamaa anajifanya kasahau
 
Back
Top Bottom