Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM.
Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa.
Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d...
Najua amekuwa mbunge kwa sababu babake alikuwa mbunge na kule Zanzibar ubunge ni kama diwani hapa bara maana nyuma yake anawatu wachache wanaozidiwa na kata huku bar ila hiyo sio hoja, hoja yangu...
Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma
Naomba kuuliza swali... Kuna watu wapo juu ya sheria?
Leo tarehe 6 March asubuhi kulikuwa na zoezi la kubomoa nyumba zilizojengwa kiholela katika kata ya Kizota...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kimeingia Mjini Songea na kufanya Mkutano Mkubwa wa hadhara uliohudhuriwa na mamia ya wananchi .
Chama hicho kilitumia fursa hiyo kutoa elimu kuhusu...
Demokrasia inahusu wengi kupewa. Hata hivyo ni busara zaidi walio sahihi kupewa:
Kaguzi za CAG zinazofanyika miaka nenda rudi bila hatua zozote za maana kuchukuliwa ni za nini?
Ya nini...
WABUNGE WA TANZANIA WANAWAJIBIKA KWA NANI?
Juzi kulikuwa ni kikao cha bunge kilichobeba azimio la kumpongeza Rais Samia. Sina shaka na pongezi za rais lakini shaka ni aina ya ajenda na walioamua...
Kila uchwao ni kilio cha maisha magumu ambacho hutoka kwa mnyonge kwenda kwa mtawala. Dhamana ya kilio hiki anayo mtawala ambaye ana matakwa ya kutatua ama kutokuitatua changamoto husika kutokana...
Kitendo cha kufikishwa mahakama ya ICC huko The Hague imekuwa ni muarobaini kwao.
Kufuatila vurugu za maandamano ambayo kimsingi yapo kisheria kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya Kenya.
Imekuwa...
MHE. JANEJELLY JAMES NTATE MBUNGE WA VITI MAALUM ANAYEWAKILISHA WAFANYAKAZI NCHINI AMECHANGIA HOTUBA YA BAJETI YA WAZIRI MKUU BUNGENI
Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini...
Dar es Salaam. Ukaguzi uliofanywa na Mdhibiti Mkuu na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) ulibaini kuwa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) lilikuwa na madeni ya Sh21 bilioni ambayo uongozi...
Mfumo wa kupiga kura na uhesabuji kura nchini Tanzania hauko sawa na haukubaliki, kuna haja ya kubadili mfumo huu wa sasa wa kupiga kula na kutengeneza mfumo mpya wa kupiga kura.
Tutoke analog...
Duniani hakuna nchi kubwa iliyopuuza uzalishaji wa chuma na ikaendelea. Nchi karibu zote za kiafrika zipo hohehahe sababu mojawapo ni kupuuza uzalishaji wa chuma. Kwa sasa(Pamoja na kusema tupo...
Nimeona mjadala wa bungeni leo YouTube, namna ambavyo spika Tulia anahangaika kuwaridhisha wabunge.
Spika anaacha hoja ya msingi ya waziri kuwa Malipo tatami lazima yapelekwe kwa mwenye serikali...
Nimefuatilia sana Bunge hili na kugundua lipo nyuma sana kwa mahitaji ya sasa. Serikali imejitahidi sana kubadilisha mambo mengi kuanzia mazingira ya biashara, utalii, miradi, Kilimo, siasa na...
Mama umesingiziwa hata alipobanwa na spika bado alishindwa kukana kuhusika kwako kuidhinisha malipo serikalini. Katiba ipo wazi wewe siyo muidhinishaki wa mapato serikalini. Kama unakumbatia...
Kwa mfano ACT Wazalendo, CUF na NCCR Mageuzi wanaonekana Wana malengo ya Muda mrefu
Hata Mrema wa TLP alijitahidi kwa kiwango Chake
Unapokuwa na chama ambacho ofisi ni Kota ya vyumba 4 na...
Katika mchezo wa siasa unahitaji kuwa na akili nyingi sana kushinda "game". Lakini akili ya kwanza ni kumsoma, kumfahamu, kumwelewa aliyeketi kwenye kiti cha "executive" anawaza nini, nini hulka...
Mwigulu huyu huyu juzi bungeni amesema mikutano ya hadhara iliyoruhusiwa ni takwa la wafadhili ili tupate mikopo ya MCC na tayari tutaanza kupokea mikopo hiyo...wakati watanzania wote walijua...
Kwa kawaida mtu akiona mwenzake anapiga pesa bila buguza kila mtu hutamani kupiga. Na akipita nafasi huwa hataki kuiachia na aliyeko nje huwa anataka aingia kwa nguvu.
Kwa sasa CCM kuna...
Tunaanza kwa kutoa shukrani nyingi sana kwa Serikali yetu inayoongozwa vizuri na Rais wetu, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kata 2 zilizokuwa zimeachwa kwenye Mradi wa Tsh Bilioni 71.5 wa Maji ya...