Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika historia ya taifa letu viongozi wanaobeba moyo wa uzalendo wa kweli huendelea kukumbukwa kwa namna walivyoweka mbele maslahi ya wananchi na kulinda heshima ya nchi yao. Ameendelea...
2 Reactions
9 Replies
185 Views
Na Dr.Zack, Dar es salaam Wakati Rais William Ruto atakapohutubia Bunge la Tanzania Mei 5, 2026, akiwa kiongozi wa kwanza wa Kenya kufanya hivyo, wengi wataona tukio la kihistoria. Lakini...
1 Reactions
8 Replies
299 Views
Sitaki kuamini hili lakini uvumi huu umeeneea sana kiasi cha kwamba umenifanya niwe na shauku kutaka kujua yaliyojiri kwenye kusign hiyo memorandum maana naona kwa taarifa nilizokuwa nazo...
19 Reactions
3K Replies
240K Views
Kauli anazoendelea kuzitoa Sheikh Said Mwaipopo kuna wakati zinakuacha mtu ukibaki mdomo wazi, ukijiuliza kama kweli zimefikirika kabla ya kutolewa. ================ Shekhe Said Mwaipopo amesema...
3 Reactions
18 Replies
614 Views
Kwanza maandamano ni haki ya kikatiba hapa nchini. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 20 ya katiba ya JMT Dunia nzima ilipambana kwa njia ya maandamano ili Mandela afunguliwe. Najua Watawala wote...
1 Reactions
6 Replies
183 Views
Wanabodi, Kufuatia kelele zinazoendelea kupigwa na watu mbalimbali, kuitaka Ripoti ya Jaji Chande iwekwe hadharani, kwanza nani niunge mkono hoja ya Vox Populi is Vox Dei, (sauti za watu ni...
4 Reactions
19 Replies
373 Views
1. Rashidi Mfaume Kawawa (1961–1962) 👉 Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanganyika baada ya uhuru. 👉 Alisimamia ujenzi wa misingi ya serikali mpya ya taifa huru. 👉 Anakumbukwa kwa uzalendo, ukakamavu na...
2 Reactions
18 Replies
403 Views
Huyu Chalamila hajui hata namna kodi zinavyokusanywa yeye anadhani kodi ni ile inayolipwa direct tu, debe tupu --- Chalamila amesema kuwa wanaosema miradi inajengwa kwa kodi zetu watambue kuwa...
2 Reactions
17 Replies
326 Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, akiwasili Bungeni jijini Dodoma leo Mei 15, 2026 na kupokelewa na Chaaba kutoka jamii ya Hadzabe, aliyefika kufuatilia uwasilishwaji wa Hotuba ya...
4 Reactions
19 Replies
405 Views
Wakuu na wadau, Nimekuwa namfatilia sana huyu Mzee, kama na wewe ni mdau wa Africa utakuwa umeona, karibia Marais wote Duniani baada ya kuapiswa huwa huyu Mzeee anawatembelea. Je, ni Biashara...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Hamjambo wote! 1. Nje ya kuandika na kusoma soma ninapenda Kuogelea. 2. Sasa Kila wiki ninakuwa na ratiba ya kwenda beach kukata Maji baharini. Kwa Upare wangu mara nyingi naendaga Beach za...
8 Reactions
24 Replies
408 Views
Mwanamke kukuacha wakati wa struggles inaweza kueleweka. Lakini kumrudisha baada ya wewe kusimama tena — hiyo inaweza kuwa kujisaliti mwenyewe. Wapo wanawake ambao hawawezi kuvumilia kipindi...
3 Reactions
8 Replies
223 Views
Sheikh Ponda Issa Ponda Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Tuondoe yanayoleta mivutano na chuki ili tufanye maridhiano. Sheikh Ponda ameyasema hayo katika kipindi cha Kasri kupitia Crown Fm...
3 Reactions
10 Replies
269 Views
Hatuna viongozi wenye vision nchi imebaki kuendeshwa na matukio yasiyo na msingi. Ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama Jaji tena mkuu kutoka hadharani kukemea matusi anaacha kujadili sababu...
11 Reactions
16 Replies
313 Views
"Serikali kupitia Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) ilifanya utafiti na kubaini kuwa sababu za wanafunzi kuandika lugha zisizo na staha kwenye karatasi za mitihani ni mmonyoko wa maadili...
3 Reactions
18 Replies
375 Views
Wakuu, Hivi Watanzania kuna changamoto gani? Kwenye hii forum mwaka huu namuona Rais wa Rwanda, Nigeria na Gabon ila Tanzania sioni kama tumepeleka Mwakilishi Mwaka jana tuliwakilishwa na...
1 Reactions
13 Replies
216 Views
Watu wa karibu na Samia Suluhu Hassan wanapaswa kumshauri kwamba rais si tu kiongozi wa nchi, bali pia ni taswira ya hisia na matumaini ya wananchi. Kuna wakati wananchi hawahitaji hata suluhisho...
1 Reactions
3 Replies
148 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amewataka viongozi wa chama na serikali kuepuka kiburi cha madaraka na badala...
2 Reactions
3 Replies
124 Views
Kufuatia uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa miaka mitano wa Chanjo na Utambuzi wa Mifugo uliofanywa na Samia Suluhu Hassan tarehe 16 Juni 2025 mkoani Simiyu Region, Wizara imeendelea kuimarisha...
1 Reactions
3 Replies
96 Views
Malengo ya waasisi wa CHADEMA yalikuwa ni kukijenga chama kwenye misingi imara ya kisiasa nchini kikisimama kama taasisi kuu ya upinzani iliyokusudiwa kutoa ushindani wa kisera na kuwa mbadala wa...
2 Reactions
8 Replies
279 Views
Back
Top Bottom