Nchi ya ajabu inakemea matusi inaacha kukemea ufisadi

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,169
Reaction score
60,528
Hatuna viongozi wenye vision nchi imebaki kuendeshwa na matukio yasiyo na msingi.

Ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama Jaji tena mkuu kutoka hadharani kukemea matusi anaacha kujadili sababu zilizopelekea kunyanganywa mradi wa Tanga oil refinery.

Jaji mwingine kapewa pesa kuliponya taifa yeye anaanza kuhesabu idadi ya matusi aliyotukanwa.

Mwingine kiongozi tena mkubwa anasema amekamata vijana 400 waliomtukana, ila hasemi amewapeleka wapi.

Miradi mikubwa inahujumiwa na mafisadi hakuna yeyote wala Jaji akikemea tunabaki kufukuzana na kina Rachel Dangwa wa Tik talk.

Kama hii nchi sio ya sengerema ni nini.

Soma pia
 
Acha upotoshaji useless kama huo ndugu mfuata mkumbo,

ni vizuri kua na adabu kidogo na kuacha porojo
 
These individuals who have violated their sacred duty to the public deserve severe public backlash and contempt.
 
Hatuna viongozi wenye vision nchi imebaki kuendeshwa na matukio yasiyo na msingi.

Ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama Jaji tena mkuu kutoka hadharani kukemea matusi anaacha kujadili sababu zilizopelekea kunyanganywa mradi wa Tanga oil refinery.

Jaji mwingine kapewa pesa kuliponya taifa yeye anaanza kuhesabu idadi ya matusi aliyotukanwa.

Mwingine kiongozi tena mkubwa anasema amekamata vijana 400 waliomtukana, ila hasemi amewapeleka wapi.

Miradi mikubwa inahujumiwa na mafisadi hakuna yeyote wala Jaji akikemea tunabaki kufukuzana na kina Rachel Dangwa wa Tik talk.

Kama hii nchi sio ya sengerema ni nini.

Soma pia
Yaani Tanzania imekuwa taifa la kishetani "as if" Lusifa/Shetani yupo hapa na amepafanya kuwa HQ yake.
Viongozi hawakerwi na vifo vya Watanzania.
Viongozi hawakerwi na ufisadi wao.
Viongozi hawakerwi na umasikini wa Watanzania.
Viongozi hawakerwi na ukosefu wa ajira kwa Watanzania.
Viongozi hawakerwi na wakulima kutonufaika na kilimo chao.

Ila viongozi wanakerwa na ukweli unaosemwa na kuuita matusi.

Baba wa uongo ni shetani.
CCM na viongozi wake ni waongo kupindukia.
Hakika shetani yupo miongoni mwao.
 
wadau wa JF wangefurahi sana ungeandika jambo la maana kuhusu hoja iliyoko mezani gentleman 🐒
Tuonyeshe jambo la maana hata moja uliloandika hapa, umebaki kuandika gentleman na nonsense.
 
Wangejua matusi ambayo Rais Ruto aliwahi kushukiwa na Nuru Okanga wa ODM pale Kenya,
Jamani mambo mengine ni negligible tu.....
Kwa mfano hao watoto watahiniwa wa mitihani ya NECTA hawajaanza leo kutoa matusi.
Walianza toka enzi za Ndalichako awamu ya Kikwete kuandika matusi na kuandika verses za bongo fleva
 
Back
Top Bottom