Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Awamu ya kwanza , Mwalimu Nyerere aliwaweka watu waliobpbea kiuchumi kuwa washauri wake. Mwalimu aliweza kubishana na IMF kwa kipindi kirefu kutokana na misimamo inayotokana na ushauri wa...
13 Reactions
44 Replies
853 Views
Jeshi la polisi mkoani Arusha limesema katika kipindi cha Aprili 18, 2026 hadi sasa, watuhumiwa 176 wamehukumiwa vifungo mbalimbali vya makosa ya jinai ikiwemo ulawiti, ubakaji, wizi, dawa za...
1 Reactions
2 Replies
132 Views
  • Featured
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 Mwandishi: "Kwenye hili swala la...
3 Reactions
14 Replies
701 Views
Mpaka kupata mitandao hiyo ni kubahatisha. Shida tupi! why all that trouble? Hamjatosheka na mateso tunayopata
5 Reactions
12 Replies
197 Views
Bila kujali Mauaji ya Octoba 29, Wakazi wa Kahama wamefurika kuwasikiliza viongozi wa Chadema kwenye kampeni kabambe ya Katiba mpya na Free Lissu Kama kawaida Mimi mtumishi wenu nitakuwepo...
6 Reactions
21 Replies
645 Views
  • Redirect
📍MAMA KAZINI Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai kuchunguza matukio ya ghasia yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Tume hiyo itaongozwa na Jaji...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
📍MAMA KAZINI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia anayesimamia nchi za Malawi, Tanzania...
0 Reactions
Replies
Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia anayesimamia nchi za Malawi, Tanzania, Zambia na...
1 Reactions
2 Replies
159 Views
Wenyewe somnaona sasa aina yake ya Maisha na Maandiko yake !! Dhahiro shahiri ni Pro Chawa !!. Bila kubeba, haonekani.
4 Reactions
9 Replies
191 Views
Kutoka kwenye akaunti ya X ya Hilda Newton. ‼️UKWELI KUHUSU BUYOBE, KWENYE SAKATA LA KUTEKWA MSHABAHA.‼️ Shuka na Thread hadi mwisho uzi ni mrefu👇 Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia...
51 Reactions
227 Replies
6K Views
WASIRA AKONGA NYOYO ZA WANANCHI KIGOMA MJINI Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewahutubia na kukonga nyoyo za mamia ya wana CCM na wananchi wa Kigoma...
3 Reactions
11 Replies
243 Views
#HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji...
2 Reactions
3 Replies
151 Views
Wakuu, Wasiwasi mkubwa unazidi kutanda ndani ya sekta binafsi nchini kufuatia madai kuwa wawekezaji wa ndani na nje wanakabiliwa na vitisho, shinikizo, na uingiliaji kati wa kisiasa unaohatarisha...
1 Reactions
3 Replies
117 Views
Kwa hatua inayotajwa kuimarisha kambi ya upinzani nchini, kiongozi wa ACT-Wazalendo, Dorothy Semu, ametangaza baraza jipya la mawaziri kivuli na kumteua Luhaga Mpina kuwa Naibu Waziri Mkuu Kivuli...
3 Reactions
9 Replies
397 Views
"Leo wakati nakuja hapa nimepigiwa simu na mdogo wake Lissu, anaitwa Vicent, amenambia tangu jana Jioni, mwenyekiti wetu anaumwa sana Tumbo, linamkaba ila aharishi, tumesema tena na tena na tena...
6 Reactions
44 Replies
980 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kuagiza chama kujifanyia tathmini unalenga kuboresha uongozi na...
2 Reactions
8 Replies
228 Views
Mama Samia kachaguliwa na tume fake kuwa raisi fake wa Tanzania bila kupata kibali cha Watanzania. Hivyo msishangae Watanzania kumkataa . Watetezi wake ambao hawewezi kubisha hoja hii watabakia...
3 Reactions
2 Replies
155 Views
Hamjambo! 1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na...
8 Reactions
64 Replies
1K Views
Mnalalamika nini? Mnasema tume imeundwa kinyume na katiba ya ya JMT kwa kuwa haikufuata matakwa ya ibara ya 74. Mkashiriki uchaguzi ambao mlitambua hauko huru. Mpaka Ayatollah wa ujiji akashindwa...
8 Reactions
10 Replies
220 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…