Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 39,741
- 92,189
Hamjambo!
Hii unaizungumziaje?
Mtu anadai ni mwanaharakati wa haki za binadamu.
Huku anapigana na dhulma za CCM. Alafu muda huohuo anawatetea Wamarekani wanapoionea Iran.
Au yupo Upande wa Israel inavyowafanyia uhuni Palestina.
Au mtu yupo Upande wa Ukraine anayeonewa na Urusi. Kumaanisha anamponda Urusi.
Lakini yupo Upande wa Israel anayefanya jambo lilelile analofanya Urusi.
Hii double standard mnaizungumziaje?
Je ni ushabiki?