kinondoniilala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 2,130
- 3,052
Akiwa katika Moja ya Mikutano yake ya Chama, amesema Kwamba Kuna gari limekuja nyumbani kwake aina ya Land cruiser Hardtop Nyeupe iliyosajiliwa kwaal namba T. 318 EQJ ikiwa ni na namba ambazo ni fake waki uliza kwa Heche ni wapi?
Lakini katika hotuba hiyo alituma salamu kwa watekaji kuwa vitendo wanavyofanya ipo siku vitawagharimu ya Kwamba na wao watauwawa ili kuficha ushahidi huku akitoa mfano wa Polepole. Je, kwa kauli hii ana maanisha Nini?
Je, Polepole alitekwa na watekaji? Kama ni kweli, mbona Mamlaka za kiuchunguzi hususani Polisi Tanzania walidai Kwamba Polepole hakuwahi kuwepo Tanzania mara baada ya kujiuzulu Ubalozi.
Mwenye kuelewa haya maelezo ya Mh. Heche atufafanulie, maana amesema jambo la Polepole haliwezi likapita hivi hivi, wale wote waliohusika lazima watajane halafu na wao wauwaee ili kuficha ushahidi
Nawasilisha
Pia soma > Heche: Mnaotumwa kuteka watu, mwisho wa siku watawaueni nyie kupoteza ushahidi