Nimetumia muda mwingi kufiatilia vikao vya mabunge ya nchi nyingi Duniani, Mabunge ja Nchi za Jumuia ya Madola na oia Mabunge ya nchi zingine zikiwemo za West Africa, North Africa, Asia na hata...
Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono amelishwa sumu wakati akiwa kwenye safari ya kikazi jijini London nchini Uingereza, imeelezwa.
Kwa mujibu wa tovuti ya The Citizen, Mkono ambaye pia ni...
Ukisoma upuuzi mwingi humu unaona kabisa hii nchi ni ya hovyo.
Lakini ukipekua na kuwasikiliza wakurugenzi wengi wa wizara na idara za serikali (wanapokuwa wageni waalikwa kwenye mijadala); wengi...
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amewalaani Viongozi wa CCM kwa kugawana rasilimali za nchi vikiwemo viwanda na kumtaja mmoja wa wanufaika wa ubazazi huo ni mbunge wa Morogoro...
Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.
Si hivyo tu hata majaji wetu...
Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu...
Viwanda ndio uchumi imara, Kama huna viwanda vya kutosha huwezi kuwa na uchumi mzuri. Hakuna maendeleo au ukuaji mzuri wa kiuchumi bila kuwa na uzalishaji unaotokana na viwanda kwa mujibu wa...
Kwa maoni yangu Magufuli aliongoza nchi kwa namna tofauti kabisa ya ajabu na ya kutia moyo wengi na kuwavunja moyo wengi vilevile.
Mama Samia ni tofauti kabisa na Magufuli anafanya kazi ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya Mkutano wa dharura wa Troika...
Katika salamu zake kwa baba askofu mteule Elirehema wa KKKT Dayosisi ya Dodoma Makamu wa Rais Dr Mpango alimsomea Neno Kutoka 1 Timotheo 3:1-10 Sifa za mtu anayetamani kuwa Askofu
Source: Upendo...
Kwanza nataka niwaambie watoto mliovamia siasa kaeni mjifunze kuhusu nchi yetu ya Tanzania muielewe vizuri. Shida kubwa ya vijana walio na mzuka na siasa hawajui kabisa kuhusu nchi wala game ya...
Mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema amewataka NEMC wapite nchi nzima kufungia bar zenye Kelele
Watanzania wengi mitaani na mitandaoni wanaipongeza serikali kupitia baraza la...
Na Gordon Kalulunga
Watu wa Nyikani wanatuonya kuwa hatupaswi kuficha Sabuni kwenye Maji maana itayeyuka.
Na anayeshangaa kutokuta Sabuni ndani ya Maji bali kuona povu wakati yeye aliificha hiyo...
Hili ni kutoka moyoni kabisa!
Nchi ya watu wa jamhuri ya JPM, haifumbii macho upandaji wa mazao kiholela na kuishi kwa tozo zisizo na kichwa wala mkia, Haina uhusiano kabisa na rushwa, wazembe...
Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali, baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli, Dkt. Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja...
Habari zenu wanajamii
Furaha yangu ni kupata majawabu ya kila swali.
Leo ninayo njia ya kuondoa udini serikalini.
Lipo neno linaitwa KWELI nalo ni mfano wa Biblia,na Quruan.Ila tofauti yake...
Kuna watu wanamdiss jk lakini ukweli ni kwamba kipindi Cha jk kila kitu kilifunguja na ajira kila mahala.hata jeshi hakukuwa na haja ya kupita jkt kila mtu aliyekuwa na passion basi jeshi ilikuwa...
Wadau nadhani wote tunakumbuka kuwa Suala la KATIBA MPYA iliundwa TUME ya JAJI WARIOBA na Kuandaa RASIMU ya KATIBA lakini Mchakato ulikwama Kwenye BUNGE la KATIBA.
Gharama ya Tume,Rasimu Mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.