Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

VIDEO: Kutoka Bungeni jijini Dodoma, Swali la Mbunge wa Kisesa Mhe. Mpina lajibiwa na Serikali Ambapo Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Atupele Mwakibete amethibitisha kuwa hakuna...
0 Reactions
2 Replies
716 Views
Ukimsikiliza waziri Bashe unagundua nchi hii tunarudia makosa yale yale ya siku zote na ni wagumu sana kujifunza kutokana na Historia. Bashe anazungumzia nadharia nzuri na maneno matamu sana...
10 Reactions
51 Replies
3K Views
Picha: Prof. Kitila Mkumbo Habari Prof! Njoo hapa tuambie, ulipokuwa Katibu Mkuu Wizara ya maji, bajeti ya wizara yako ilikuwa bil 600. Wadau walipokuuliza kama zitatosha, ulijjibu ndiyo...
0 Reactions
1 Replies
502 Views
Jeshi la Polisi limetangaza kwamba IGP mstaafu ataagwa rasmi kesho na Jeshi hilo kwenye hafla itakayofanyika kwenye viwanja vya chuo cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam Msemaji wa Polisi...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Ingawa tunajua kwamba chuki dhidi ya Lissu inatokana zaidi na uwezo wake wa kijasiri wa kusema kile anachokiamini dhidi ya watawala, lakini pia wapo watu wanaomchukia Lissu kwa kuwa tu yupo hai...
13 Reactions
37 Replies
2K Views
Katika kipindi hiki ambacho tunakiita cha ukombozi kutoka katika udikteta wa miaka 7 tunachokiona ni Vyombo vya habari na waandishi wa habari kutuangusha kwa kujikita kwenye habari za kijinga na...
1 Reactions
7 Replies
670 Views
Nawasalimu wote. CHADEMA tulikuwa na wabunge wengi kabla ya ukatili na chafuzi za yule mshamba, tukanyang'anywa kwa Hila, vipigo,vifo, vifungo na mateso. Haya matatizo na uonevu tulifanyiwa na...
4 Reactions
12 Replies
865 Views
Kwa heshma na taadhima naomba kura kwa Harold Sungusia. Ni wakati wa TLS kutoka kwenye mkwamo na kurudi kutumikia wanachama. Sungusia ni nani? Mbali na uzoefu wake wa zaidi ya miaka 20 kwenye...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
1. Umejaa rushwa 2. Vijana waliochaguliwa ni wa mijini ambao hata hawajawahi waza kilimo 3. Umejaa matumizi mabaya ya fedha za umma. 4. Umeletwa kwa muhemko kuliko uhalisia. Vigezo vinavyo...
19 Reactions
41 Replies
3K Views
WAZIRI MKUU AMEZUIA MAPATO KUKOPESHWA Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezuia mapato ya mwezi Aprili, Mei na Juni ya Halmashauri zote nchini kutokopeshwa kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu...
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Wakuu, Tunafahamu kumekuwa na minongono kuwa ndani ya CHADEMA kuna tofauti juu ya maridhiano yanayoendelea na CCM. Pamoja na Mh Mama Samia kukiri kuna wahafidhina Chadema na CCM wanaokataa...
2 Reactions
5 Replies
403 Views
Mkuu wa mkoa wa Mara amesema Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara ni Mzushi na Muongo hajatukanwa na yoyote. RC anasema wamekuwa Wataalamu wa Ardhi na kuweka barcon yeye Waitara kama Mbunge...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2023/2024 ambapo amesema hali ya upatikanaji wa huduma ya maji Mijini...
0 Reactions
0 Replies
407 Views
Dkt. Florence Samizi Mbunge wa jimbo la Muhambwe, aunguruma bungeni akichangia Wizara ya Kilimo na akitaka hatua za serikali kwa makampuni yanayodhurumu wakulima fedha za mazao yao. ======...
0 Reactions
3 Replies
757 Views
Alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, John Pombe Magufuli alitamani kila mradi uitwe kwa jina la Julius Kambarage Nyerere. Ni kama vile aliamini kuwa hakuna aliye bora kati ya Marais...
19 Reactions
127 Replies
5K Views
Nimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki? Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi...
13 Reactions
124 Replies
8K Views
Nimekutana na hili Bango ambalo ni maarufu sana kwa sasa lenye picha ya Rais Samia ( Mwenyekiti wa CCM) na Tundu Lisu Makamu mwenyekiti wa Chadema, limenifurahisha sana Wakati wote huwa...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mitaa ina furaha, Raha, Amani, Tabasamu na matumaini makubwa sana. Hii ni Baada ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara ya kilimo ya Takribani billioni Mia Tisa na sabini...
1 Reactions
1 Replies
473 Views
Kote Nusu Mkate na Mkate mzima kuna faida na Hasara zake Nusu Mkate inawahakikishia Chadema kuwa na Idadi fulani ya Wabunge kabla hata ya kupiga kura hiyo ni faida Hasara ya Nusu Mkate ni...
0 Reactions
8 Replies
580 Views
Yaani badala ya kudeal na kuwaboreshea wakulima waliopo kwenye mazingira ya ukulima, yeye ameamua kwenda kuokoteza majobless waliojipachika UVCCM na kuwalazimishia kwenye ukulima kwa gharama za...
3 Reactions
10 Replies
708 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…